spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,124
- 21,835
Naona mpo wakuuNjija
Naona mpo wakuuNjija
Asilimia kubwa hawakielewi wanachokisoma isipokuwa wanakariri. Au wakielewa hawajui namna ya kuapply.Swali ni je....hizo content wanazielewa???
Shule za international wanachofanya ni kuwapa watoto muda waku-digest information. Huku kwingine nikuwalimbikizia tu watoto a lot of unnecessary stuff. Muda wao wa utoto (ambao wanatakiwa kufurahia utoto wao) tunawa-exhaust sawa sawa na tunavyochoshwa na maisha ya ukubwani.
Utoto mgumu, ukubwa mgumu, lini watapumua???
Defo my friend.Weed=wisdom
Wewe simamia homework [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakodoa macho
Usiku kucha na mchana kutwa
Kuitafuta shekeli
Asipojiongeza imekula kwake
Nina mpango huoKwakweli.
Ngoja tu tuchangamke tukimbize madogo huko kwa watu kama wenye dhamani na hii nchi wanavyofanya.
Unataka anidharau[emoji1787]Wewe simamia homework [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nina mpango huo
Lakini kuna shule
Jina likanitisha kidogo
Pale Johannesburg S.A
Inaitwa WeePee High school
Hata kama sijui kingereza[emoji1787]
Nikasema hapa ni upinde
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unataka anidharau[emoji1787]
Huo muda Sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unazama gugoo chaaaaap kuweka heshima
😀😀Sawa
Selfika bhas[emoji3][emoji3]Sawa
Sina hata picha mpya nduguyangu nitaselfika inshallahSelfika bhas
AminaaaaaSina hata picha mpya nduguyangu nitaselfika inshallah
Si haba😂😂😂😂 bas nitahamia goba soon
Naaam...
OyaaaaSi haba