Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Usiku mwema wapendwaaa kesho nayo ni siku! ✌️
 

Attachments

  • IMG-20230504-WA0001~2.jpg
    IMG-20230504-WA0001~2.jpg
    70.5 KB · Views: 4
Kwenye international schools wale wanasoma content kidogo alafu na exposure ni kubwa to the world plus confidence

Ila ukiweka hawa watoto wetu english na WA international school wakwetu kwenye content wapo vzr saana.

Sijui tunakwama wapiiii.
Swali ni je....hizo content wanazielewa???

Shule za international wanachofanya ni kuwapa watoto muda waku-digest information. Huku kwingine nikuwalimbikizia tu watoto a lot of unnecessary stuff. Muda wao wa utoto (ambao wanatakiwa kufurahia utoto wao) tunawa-exhaust sawa sawa na tunavyochoshwa na maisha ya ukubwani.

Utoto mgumu, ukubwa mgumu, lini watapumua???
 
If only mfumo wetu wa elimu ungeboreshwa.😵

Bado hatujafikia kuwa na wasomi wanaoweza kupambana na soko la nje kwa kiwango cha juu kwasababu watoto wetu bado hawafundishwi ili waelewe, wanakaririshwa ili wafanye vizuri kwenye mitihani.

Wale waliopo kwenye shule za International kweli ndio wenye advantage. Huku kwingine inabidi wazazi tuweke juhudi za nyongeza.🥴
Hili ni suala mtambuka
Lina hitaji mjadala mrefu sana na uthubutu wa hali ya juu

We have a long way.....
 
Back
Top Bottom