Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,483
Ndio maana tukaletewa Google 🤓🤓🤓Kwasisi tulioishia la darasa la Nne la Mkoloni tunapata tabu sana na hizo homework zao 🤪🏃🏃
Ndio maana tukaletewa Google 🤓🤓🤓Kwasisi tulioishia la darasa la Nne la Mkoloni tunapata tabu sana na hizo homework zao 🤪🏃🏃
Hahaha.....................ni balaa MkuuNa maswali ya siku hizi.
Kuna somo linaitwa social studies na jingine civic and moral Yani humo kuna maswali pasua kichwa.
Hahaha......................kwa kweli 🙌Ndio maana tukaletewa Google 🤓🤓🤓
Sisi wenye allergy na kingereza tunateswa saana.Hahaha.....................ni balaa Mkuu
Kinachonisaidia ni kuwa I was good at Maths and English, vinginevyo ningepata tabu sana.
All in all, hizo homework zao zinatufanya wakati mwingine tupate nafasi ya ku interact na Watoto, manake kila siku tupo busy kutafuta hela tu [emoji119]
Naomba kalimati...apo
Na wamasai wengi ni vipangaHahaha......................kwa kweli [emoji119]
Ila kwasasa muamko kuwasomesha watoto shule nzuri umekuwa mkubwa, last time nimeenda Visiting day nakutana na Wamasai wanasomesha watoto wao hiyo shule.
Nikawaza kama speed ya kuitafuta Elimu imekuwa kubwa hivyo baada ya miaka 15 ijayo huenda rate ya Wajinga itapungua kwa asilimia kubwa kidogo
Hahaha..............watafutie Mwl wa English awasaidie 🤗Sisi wenye allergy na kingereza tunateswa saana.
Wale jamaa wako vizuri sana darasani.Na wamasai wengi ni vipanga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yes.Hahaha..............watafutie Mwl wa English awasaidie [emoji847]
Ila nimeona watoto wengi wanaosoma shule za English Medium wanafundishwa mambo mengi ambayo sisi Wakati tunasoma tulifundishwa Form I au II.
Maziwa na nyama hapo ni protein.Wale jamaa wako vizuri sana darasani.
Nadhani yale maziwa wanakunywa kila siku yanawasaidia sana
Hahaha.........mtoto anaanza kukuuliza umsaidie ku calculate reflective index, density tena 😅🙌Yes.
Siku hizi Wana calculate paka density na pulley
Haya mambo ndio yaliyofanya tukakimbia fiziks.... Bado mtoto anakuuliza tena [emoji23][emoji23][emoji23]
Isingekuwa mambo yao ya kuoza watoto wa Kike, wengi wanakuwaga bright sana.Maziwa na nyama hapo ni protein.
Inasaidia kukuza akili. Ila wasichana wakimasai wanasoma secondary huku wameposwa sijui au kuolewa.
Acha tuuu....! Haya mambo ya sayansi [emoji119][emoji119][emoji119]Hahaha.........mtoto anaanza kukuuliza umsaidie ku calculate reflective index, density tena [emoji28][emoji119]
Ni hatari
If only mfumo wetu wa elimu ungeboreshwa.😵Hahaha......................kwa kweli 🙌
Ila kwasasa muamko kuwasomesha watoto shule nzuri umekuwa mkubwa, last time nimeenda Visiting day nakutana na Wamasai wanasomesha watoto wao hiyo shule.
Nikawaza kama speed ya kuitafuta Elimu imekuwa kubwa hivyo baada ya miaka 15 ijayo huenda rate ya Wajinga itapungua kwa asilimia kubwa kidogo
Njoo uchukue...🙂Naomba kalimati...apo
mko kwenye diet?? 😂
Kwenye international schools wale wanasoma content kidogo alafu na exposure ni kubwa to the world plus confidenceIf only mfumo wetu wa elimu ungeboreshwa.[emoji43]
Bado hatujafikia kuwa na wasomi wanaoweza kupambana na soko la nje kwa kiwango cha juu kwasababu watoto wetu bado hawafundishwi ili waelewe, wanakaririshwa ili wafanye vizuri kwenye mitihani.
Wale waliopo kwenye shule za International kweli ndio wenye advantage. Huku kwingine inabidi wazazi tuweke juhudi za nyongeza.[emoji3061]
Diet 🍚 mwingi hivyo???🙄mko kwenye diet?? 😂
ni vizuri tu kama mmeshazoea 😂Diet 🍚 mwingi hivyo???🙄
Nimezidisha kipimo kabisa.🥴