mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 22,269
- 71,935
selfika kwanza.... 😂nataka nione buzz cut yako😂
😂😂mwanaume!!!
weweee acha nile bata 😂 afazali mimi sishindii tambi kama mnyonya lips😂😂😂mwanaume!!!
😂😂😂😂 bas nitahamia goba soonTulioikuza Sinza ndo tumehamia huku tumeamua kuwaachia fujo huko
🙆Umeniangusha sana.hadi wewe unaniponda kaka 😂
mara mojamoja bro tunasuuza koo 😂🙆Umeniangusha sana.
Unafeli sana
ah wapi, mara mojamoja sio mbaya 😂Unafeli sana
Nilijua tu, niwekee kipande nakuja kukifataselfika kwanza....nataka nione buzz cut yako
![]()
Kama ni hivyo sawa.😁mara mojamoja bro tunasuuza koo 😂
hata wewe bro najua unahusika na hivi vitu 😂Kama ni hivyo sawa.😁
purizzz weka picha, purizzzz 😂
Uje unielekeze anapoishi rafiki yako.Unafeli sana
Hapa kama ni posta karibu na ubalozi wa Germany au hapa ni ubalozi wa ujerumani😀View attachment 2613275Happy Sunday to y'all 😍❤️
Ndio, si mbaguzi wa chakula, nimeonja vyakula vya aina nyingi, Vietnamese misosi yao hapana, wanakula dogii, kuna butcher za dogii.hata wewe bro najua unahusika na hivi vitu 😂
Mtoto mzuri mambo?