Shida mimi nikinywa juice nyingi au maji hasa usiku nakesha kwa kwenda msalani😁😅😅🤣🤣🤣 Mm nimebadili ratiba ya kula nakunywa sana juis fresh usiku hivo nakuwa nakula chakula kidogo sana napiga juis glass 2😀SAS sijui napunguza au naongeza nyie🤣🤣
🤣🤣🤣Shida mimi nikinywa juice nyingi au maji hasa usiku nakesha kwa kwenda msalani😁😅😅
😬Usicheke kipenzi mwenzio napitia changamoto sijui hiki kitambi kigumu kama chuma kinatoka vipi yaani🤷🏼♀️
MpambanieHahahahaa kitu laini mbili ni mwendo wa kubadilishana vitobo vya utamu
Ngoja tumuite mwanetu Carrasco tumeongezeka mtu 3 ndani ya track 1Mpambanie
Nami nitaweka mzigo
Kwani kitu gani
Poapoa mzee babaZama naye pm chapu damu isipoe
Mm ngoja nika 🪒 kwanza naona umekuwa msitu
Yani uziondoe nyama nyama anazopenda chinoKuna mtu aliweza, yaani muda huu ndiyo anakula chakula cha usiku. Aliacha kula dinner sijui kuanzia saa 2 usiku na kuendelea. Kama unaweza hili hadi mwili unapungua.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!Kwani hiko kitambi Mkwe wangu Mjeshi kasema hakitaki?
Kwamba kinafunika mchi wakati wa kutwanga karanga🙈🏃🏃🏃🏃
Mwambie hiyo ni ishara kuwa anakuhudumia vizuri 🤪
Usijareee kabisa mnywanii wewe treinaaahhhh sema kingineee!Miss you too mnyama
mkali!
Hope leo chino kawahi mapema
Ata pata wasaha walau wakuona hata shingo
Haha ntamsimulia mzee wa hall vUsijareee kabisa mnywanii wewe treinaaahhhh sema kingineee!
Haha ntamsimulia mzee wa hall v
Afu ntaongea nae pia arudi nyumbani nimeshamwambia huwa aikomolewi.
View attachment 2606493
Ngoja nifanye hivo dear asante!Hasa usiku Anza na kupunguza kula wanga usiku kama ni chakula weka mboga nying kuliko msosi wenyew
Hahaha kasusiwa Kama alivotaka!!Hahahaaa.. itafika wakati ataikinai mwenyewe mnywaniii aile taratibuuu hio ipo niyake tyuuu☺️!
Kikubwa chura ibaki tuNgoja nifanye hivo dear asante!
Hahahaaa...Aongee na Mjomba National Anthem ampatie mdinda dindaaaa 😂!Hahaha kasusiwa Kama alivotaka!!
pumzi zikawa ndogo.
Bora wewe best unajaa nyumaa wengine tukinenepa tunanenepa mikono tumbo na kichwa yaani kama simba 🤷🏼♀️😬😬🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!
Eendiwoooooo babuuu yuko vizure sanaaaaa hata hakimzuiii kabesaaa weeeeeeeeehh😁😁😂
Tatizo mjukuu wako nikinenepaa
najaaa kotree mbele na nyumaa babuuu !! 😁