Okrap
JF-Expert Member
- Jul 13, 2022
- 1,112
- 2,315
Kaka yako leo hajarudi mpakaHalf american njoo 😂😂
Sasaiv na haja acha hela so punguza mdomo kidogo 😂
Kaka yako leo hajarudi mpakaHalf american njoo 😂😂
10 swafi kabisa iyo

Inabidi siku upost picha yetu ya pamoja ili Jack Palladino aamini!🙂Namjulia nyumbani kwake..
Mtoto huna adabu. Hajarudi si akaenda kukutafutia? Huoni juzi mlikula nyama? 😀Kaka yako leo hajarudi mpaka
Sasaiv na haja acha hela so punguza mdomo kidogo 😂
Nasubiri hiyo pic tena afanye chap😊Inabidi siku upost picha yetu ya pamoja ili Jack Palladino aamini!🙂
Mwezangu kala mzizi leo katulia huoni mapepe hamna humu 😂😂Mtoto huna adabu. Hajarudi si akaenda kukutafutia? Huoni juzi mlikula nyama? 😀
Vitu lainiiii😊
Rahisi dear , ni kujiweka busy tu na kufanya yako .Hapanaaa![]()
10 swafi kabisa iyo![]()
Mzee unalamba asali tu.
Mbantu nakusalimu!Siku moja twende wote basi, Wigelekelo nimetamani kusafiri kwenye hayo magari.
Unanisingizia kwa kweli sikusema hivyo 🤔.Ndio kusema unaogopa ntakula njiani???🙄😁
Waletee alafu uwatoe out wakacheze kidogo! 😊
Mzima wew kijana
Mambo dearMzima wew kijana
Jirani Kama jiraniMambo dear
Nipo mkuu!Mzima wew kijana
Nambie jirani , za huko ?Jirani Kama jirani