cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,473
- 188,319
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna siku nilivaa sketi yangu Fulani
Si fupi sana , ila nikinenepa huwa inapanda sana juu
Sasa bana, nilivaa nikaona imebana sana hadi inapanda juu,,
Nikapotezea nikatoka.
Aisee[emoji1787][emoji1787]nilitembea Kwa shida ile siku.. Safari niliona mbali wakati ni Mbezi tu stand hapo.
Kila nikipiga hatua inapanda juu
Na upepo unapiga huku nyuma mpasuo inazidi kupanda.