Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimekuta bei poa sana vinauzwa[emoji23]
Nikasema ngoja nibebe

Sijui nimpe Lizzy, angalau kwake vitakuwa virefu kidogo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie mroho wa kila nguo. Nikiona nzuri na naipenda naichukua, km siwezi vaa public navaa kupigia picha, afu naiweka kwa begi, siku akitokea wa kupewa nampaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kabisa
Mwenyewe nikiona nguo nzuri na hainitoshi
Ila Kuna ila Kuna mtu nahisi itamtosha basi nabeba
 
jaribu uende hhvyo siku moja . Utadamshi kweli .
Kuna siku nilivaa sketi yangu Fulani
Si fupi sana , ila nikinenepa huwa inapanda sana juu
Sasa bana, nilivaa nikaona imebana sana hadi inapanda juu,,
Nikapotezea nikatoka.

Aisee🤣🤣nilitembea Kwa shida ile siku.. Safari niliona mbali wakati ni Mbezi tu stand hapo.
Kila nikipiga hatua inapanda juu
Na upepo unapiga huku nyuma mpasuo inazidi kupanda.
 
Back
Top Bottom