Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Usiwaze wewe vivae tu , vizuri sana hivyoNimevinunua jana duniani huko
Nimejaribu naona vizuri
Mtihani upo kwenye kuvaa![]()
Usiwaze wewe vivae tu , vizuri sana hivyoNimevinunua jana duniani huko
Nimejaribu naona vizuri
Mtihani upo kwenye kuvaa![]()
NitajaribuUsiwaze wewe vivae tu , vizuri sana hivyo
anza mdogo mdogo , mie toka mtoto navaa vimini , nguo ndefu nimeanzia ukubwaniNitajaribu
Mdogo mdogo
Nitaharibikia ukubwani😂😂😂anza mdogo mdogo , mie toka mtoto navaa vimini , nguo ndefu nimeanzia ukubwani
Njema,. Nimetulia TU,. Na uzee huu Sina mwendoWaaleykum salaam
Za kupotea?
Umefichwa wapi huko?

Akuje huyo sijui kapotelea waapiMzee mzima T 1990 ELY kuna salamu zako hapa chief
kuharibika ni character na sio mavazi malezi uliyokulia ni mazuri sana . Vaa tu mwaya ni decent na usiwazeNitajaribu
Mdogo mdogo
kuharibika ni character na sio mavazi malezi uliyokulia ni mazuri sana . Vaa tu mwaya ni decent na usiwazeNitajaribu
Mdogo mdogo
Ntajaribu mara mojamojakuharibika ni character na sio mavazi malezi uliyokulia ni mazuri sana . Vaa tu mwaya ni decent na usiwaze
Next Saturday jirani yangu

Wewe jamaa 😅😅😅
Maandalizi ya kuingia UDNimevinunua jana duniani huko
Nimejaribu naona vizuri
Mtihani upo kwenye kuvaa![]()
beach hadi lini , na vigauni vizuri hivyo jamani hapana . Tafutia hata tight au stockings . Hapa nipo na kigauni kifupi na kitightNtajaribu mara mojamoja
Nikienda beach huko au kwenye sherehe
Shemegi amesema nimependeza
Amenipa bichwa,anasema they are sexy(natania)
Shem yupo sahihi au siku ukitoka out naye labda dinner uvaepoNtajaribu mara mojamoja
Nikienda beach huko au kwenye sherehe
Shemegi amesema nimependeza
Amenipa bichwa,anasema they are sexy(natania)
Hayo Maua

Ka idd mwenyewe kadogoMwanangu
Hadi sasa bila bila
Krismasi sio mbali ujue
Nimevinunua jana duniani huko
Nimejaribu naona vizuri
Mtihani upo kwenye kuvaa![]()




sasa unanunua afu huwezi kuvaa? Jamani uwiiiihMama mchungajiKupatwa vya vigauni vifupi
Nimevizoa View attachment 2596321View attachment 2596322View attachment 2596323