Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,310
Natambua uwepoo wako Mamaa la mama mtrotro mwenye shepuu lakee lahajaaaaa😘😍😍!
Eid Mubarak mamy!
Eid Mubarak mamy!
Umetisha Sana! Shukrani Sana boss
Haha! Imagine una dance na Bantu Lady na mzigo wake ule wote anakupea.Hao wazunguu hawanaa sheedaaah kabesaaaa wee ukiwa tayaree wabip tyuu mnywanii!!
Hapo itakua unasinzia unaniotaota tupo beach.Boys || men ukiwasikiliza lazima usinzie 😁
Haha! Imagine una dance na Bantu Lady na mzigo wake ule wote anakupea.
Mzee wa hall 5 anakula mema mengi Sana ya dunia
Mapema mnoooMambo yameshaanza kuwa mambo
Yes ma'amSurah Al baqarah
Una mziziWigelekelo kimbia hapa chap upasuke kwa wivu
Mtoto ndo ameshakubali kuja kula Idd kazi kwako
Domo zegewake zako wapo hapo ? nisije sutwa bure mie.

Na ndipo saHapo sasa ndio utajikuta ushamtuma boda akuletee kiepe
Mimi ningekuwa hiyo jeansI wish ningekua hilo masai shuka wallah
Acha tuHaha! Imagine una dance na Bantu Lady na mzigo wake ule wote anakupea.
Mzee wa hall 5 anakula mema mengi Sana ya dunia
Ulivyo tall hivyo , unakoseaje kwa mfano , hujaamua tu mwaka huu tucheze harusiDomo zege
Nitapata wapi mke![]()
Hapo bilinganya la Johnnie Walker litikisike😀Mimi ningekuwa hiyo jeans
Halafu zile sehemu za miguu
Zinapopishana pale kuna zip