ππππππ,SIPENDI AMANI susijal Nita selfika kwaajil yko πππ€π€π€Nakubusu uwe una selfika kidogo basi sio unajificha ficha kama paka πππππππ
Au umekuwa kunguru
Nakubusu uwe una selfika kidogo basi sio unajificha ficha kama paka πππππππ
Au umekuwa kunguru
AnakudanganyaOoh okay , wameshika dini haswa
Nina jeans moja tu huwa naiweka humuπHahaha hujazoea mwaya, skinny jeans sasa unavaa ?
Wacha weeπππUna rangi nzuri dear,
Hata mie naipendaa mnooo.
Black is beauty![]()
nimeanza kuvaa suruali miaka ya 2017 kweli kabisa , mie hata suruali sinaga , nimepungua hazinitoshi tena .Anakudanganya
Mbona wengi wanavaa,team za siku hizi nyingi ndo pigo zao,,vimini,suruali.
Na wanapendeza.
Nadhani ni background tu ya mtu
Alikokulia.
Mimi sijakulia mazingira ya hizo nguo..nimezaliwa kwenye manguo ya marinda ndo maana nazishangaa hizi.
Lakini wengine toka wanazaliwa wanavalishwa.
Ukipungua kwanzia mguu hakuna suruali itakayokutosha . Huwa nazipenda boyfriend jeans sana .Nina jeans moja tu huwa naiweka humu
Kwanini zkaitwa hivyoUkipungua kwanzia mguu hakuna suruali itakayokutosha . Huwa nazipenda boyfriend jeans sana .

MarindaAnakudanganya
Mbona wengi wanavaa,team za siku hizi nyingi ndo pigo zao,,vimini,suruali.
Na wanapendeza.
Nadhani ni background tu ya mtu
Alikokulia.
Mimi sijakulia mazingira ya hizo nguo..nimezaliwa kwenye manguo ya marinda ndo maana nazishangaa hizi.
Lakini wengine toka wanazaliwa wanavalishwa.

Zamani wadada walikuwa wanavaa jeans za boyfriend zao . Na wakawa wanapendeza , designers wakaamua watengeneze jeans zenye muonekano wa kiume ila wanaovaa ni wakike . Muonekano wa hizi jeans ni loose and baggy , pana pana hivi na ukivaa unakuwa relaxed ukipata inayoendana na body size yako unatokelezeaKwanini zkaitwa hivyo
Ndio zikoje![]()
Kama Ile ulivaaZamani wadada walikuwa wanavaa jeans za boyfriend zao . Na wakawa wanapendeza , designers wakaamua watengeneze jeans zenye muonekano wa kiume ila wanaovaa ni wakike . Muonekano wa hizi jeans ni loose and baggy , pana pana hivi na ukivaa unakuwa relaxed ukipata inayoendana na body size yako unatokelezea

Siku ile nilivaa gauni bhana, Vipi umeamkaje ?Kama Ile ulivaa
Siku Ile
Kule naniliu![]()
Wapi huko?Kama Ile ulivaa
Siku Ile
Kule naniliu![]()
Bado nimelalaSiku ile nilivaa gauni bhana, Vipi umeamkaje ?

Anha ile napokea cheti ?? Hapana sio ile ni suruali tu ya kitambaa . Aisee pole sana kwa baridi , tafuta joto huko .Bado nimelala
Kuna baridi kinoma
Acha hiyo siku pale
Ile siku unapokea Nini
Umekumbuka eeh
Ndio hiyo![]()
Muache asomeUkishajua itakusaidia nini
Ili iweje
Kwa mfano
Sijui kizunguAnha ile napokea cheti ?? Hapana sio ile ni suruali tu ya kitambaa . Aisee pole sana kwa baridi , tafuta joto huko .
Habari ya asubuhiMuache asome

Suruali yangu ya interview hiyo . Huwa naipendaga kuivaa . Okay nitafuta suruali next time .Sijui kizungu
Hiyo ilikutoa
Uwe unavaa hivyo
Tukitoka