Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ila kuna wakaka wanajua kujipigilia, kunukia, yaan wako co smart, kuna huyo m1 mie pigo zake hoiii,
Ile harufu yake siku sio nyingi ntamuuliza anatumia perfume au body spray ipi, noumaaa.

Afu kajua km namu admire, bas mda wote nikiwepo nae anakua around. Mweeeeeh
Leo nimeongozana na mtoto hapo chuoni kwenu
Walikuwa wametoka kipindi,sasa Ile kutembea akanigonga begani
Alikuwa speed.

Ikabidi asimame,,"ooh sorry huku kananifutafuta bega,kananimassage huku kanatabasamu
Kazuri hakokahandsome,kananukia.

Nikamwambia usijali
Kakaniangalia,nikatabasamu.

Watoto wa chuo bana,sijui alijua na mimi mtoto mwenzie,
 
yaan chuonii bhanaaa, ni full vuruguu, kila aina ya watu wapooo.

Ukuje usomee sasa, tena kule kwa masters ndo balaa sasa, kila siku lazima niende venue ile.
 
yaan chuonii bhanaaa, ni full vuruguu, kila aina ya watu wapooo.

Ukuje usomee sasa, tena kule kwa masters ndo balaa sasa, kila siku lazima niende venue ile.
Mwee mbona wana Mbeya watanipotezea Yudii
Yule mtoto tu kalitaka nikalegezee
Nikakakazia

Huko masters si ndo kutavunja ndoa yangu kabisa

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom