Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,525
- 235,259
Nani huyo katutukana jamani[emoji38]Kumbe tupo wengi tunao panda daladala na hamtusapoti tunapitukanwa na wenye magari [emoji23][emoji23]
Nani huyo katutukana jamani[emoji38]Kumbe tupo wengi tunao panda daladala na hamtusapoti tunapitukanwa na wenye magari [emoji23][emoji23]
Zipo sasa Jr ameharibuu kimeooo picha zinaonekanajee vibaya kinoumaaa!!Tuone kwanza za zamani
Mvua inakuja na kurudiKama inakuja afu inakata
MweeAlibadili jina muda sana sikuhizi anatumia username nyingine nadhani ngoja niikumbuke!!
Tukuulize wewe wifi ake mama mchungaji mlikua mnaendea pamoja kwenye maombiii!! Tumemmiss sana Selfika tayana wog werayyuuuuuuu [emoji2788]!
Mjep hawezi kututukana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aaaah mie Masters kusoma Bongo hapanaa, ntafanya niwezavyo nivuke mambelee, nikishindwa hata South bas.Mimi narudi shule
Tena nisome hapahapa Mlimani niwe nakula upepo safi.
Weka tu hizohizo mbayaZipo sasa Jr ameharibuu kimeooo picha zinaoneka vibaya kinoumaaa!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unanionajee na cna furahaa?? Hujui? Wee wa kunichinjiaa baharinii kweliii???Usinifanyie hivooo shougaaangu nimemiss kukuonaa mieee!!
Siwezi kwenda ng'ambo na akina Junia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aaaah mie Masters kusoma Bongo hapanaa, ntafanya niwezavyo nivuke mambelee, nikishindwa hata South bas.
Mwakaseghe
Turiaaa turiaaa kipenzeee utafurahiii mwenyewe mbonaa!! Wewe treinaaahhhh 🤭!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unanionajee na cna furahaa?? Hujui? Wee wa kunichinjiaa baharinii kweliii???
hahahah @Tayukwaa ndio anasema eti atatuwekea bangoMjep hawezi kututukana
Kama amefanya hivyo basi napora kirikou yake.
Kabesaaa mkimuona huko mmwambie tumemmisso sana!!
Nafungua faster Whatsapp luv....Bantu Lady dear njoo WhatsApp nawewe ucheke dakika sifuri !!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinichekesheeee, ani connet wapi? Mzushii tyuuh.Siwezi kwenda ng'ambo na akina Junia.
Kwani Palladino hajakuconnect na mzungu yeyote?