CAPTORHINOMORPHS
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 3,065
- 7,651
Nitaaanzia wapi mimi jirani?
Pole , kesho utakuwa mitaa ganiJaman kumbe Eid siyo leo tena[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Mambo gani ya kwenda shule tena
Good morning dear TinsleyPole , kesho utakuwa mitaa gani
Marahaba mremboMorning kaka Mjep , umeamkaje ? Heshima yako , shikamoo .
ndoa yenu imebarikiwa , hakuna wa kuingiliaMwee mbona wana Mbeya watanipotezea Yudii[emoji23]
Yule mtoto tu kalitaka nikalegezee
Nikakakazia
Huko masters si ndo kutavunja ndoa yangu kabisa [emoji1787]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Pole , kesho utakuwa mitaa gani
nipo poa vipi wewe . One day yes nitaselfikaMarahaba mrembo
Uko poa.?
Usisahau kuselfika mdogo wangu
Ukitoka basi unishtue ,karibu sana . Mpeleke wifi hata Bagamoyo kwenye ma resort .Nitakuwa Lodge hapo bunju
Utanipika nn nijeUkitoka basi unishtue ,karibu sana . Mpeleke wifi hata Bagamoyo kwenye ma resort .
Tuma pesa ya shopping kwanza , niende nyuki hapo chap . Kwetu Mwanza hahaha , nipo ghetto .Utanipika nn nije
Upo geto au kwenu
Nipe namba yakoTuma pesa ya shopping kwanza , niende nyuki hapo chap . Kwetu Mwanza hahaha , nipo ghetto .
Tayari nimetuma , fanya muamala . Uenjoy vinono hapo kesho lolNipe namba yako
Kumbe upo geto hapo ndyo pazuri andaa mazingiria mapema basi nipitie viksi Lotion hapa
Ukiselfika usisahau kunitagnipo poa vipi wewe . One day yes nitaselfika
Nimejaribu kuimagine ninavyo kabwa na pilau huo muda😆😀😀Ukiselfika usisahau kunitag
Ukimuona mrembo Alayna mwambie akila pilau la Idd peke yake litamkwama asibanie huo mwaliko