Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
all is well , tupo tunabembeleza usingizi hapa .Niko poa sana boss wangu
Vipi wewe?
all is well , tupo tunabembeleza usingizi hapa .Niko poa sana boss wangu
Vipi wewe?
all is well , tupo tunabembeleza usingizi hapa .
Ndio maanaAnkol National Anthem ni my Brother huyo, mtake radhi bana [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Humjui huyu ni kaka yangu kumbe?
Shida kaka Ngalikihinja hajatag vizuri dah... inaonyesha kama ndiyo mpumuaji eeeh [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
macho yamechoka , nikifika tu ndani najua kusinziaMbona mapema sana boss wangu
Subiri subiri walau ifike saa 6
Kama na mimi ni mmojawapo nikumbushe kukuthamini na kukutendea mema [emoji175][emoji182][emoji254][emoji173][emoji253][emoji177][emoji179][emoji176][emoji257][emoji255][emoji253][emoji259]Pole mdogo wangumacho yamechoka , nikifika tu ndani najua kusinzia
Chino
Itabidi nikaribie hapo siku mmoja!Chino
Hizi kazi kama zote
Sema UTI sugu
Ndio nyumbani kwao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sante kwa minyama
Kumekuchaaa, kumekuchaaaa.Mbavu nene,2017.Njaa sio jambo la mchezo aisee.View attachment 2586728
Ume tubless kitambo sana mkuuKumekuchaaa, kumekuchaaaa.
Hebu simama uonekane vizuri.
Aiseeeenimekufananisha na x wangu .
hahaha hujamboA
Aiseeee
Sijambo za kwakohahaha hujambo
Mzee nimeambiwa kuna UTI suguuu.
Naaam.Chino
Hizi kazi kama zote
Sema UTI sugu
Ndio nyumbani kwao