Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Khaaah sasa usipange kisa nn? Km Una kazi ya kukupa kipatoo? Why not?
Wanataka uolewe kwanza ndo utoke . Watata hao , Jamani leo nimeshauriwa kuhusu ndoa aisee kwa nini sie wanawake tunawahi kuchakaa jamani ?
 
Ud mnatupiga bao
Mitimiti kama yote

Kule kwetu miti ipo kipindi cha mvua tu,
Kiangazi utapakimbia.
IMG_20230418_121853_607.jpg
 
Kwa jinsi alimshobokea na kumtupiamo kwenye mitandao big boss Ricky hata kama ni mimi ningempokonya ndinga yangu. Kwa hiyo madevu naye kamla Mobeto sijui kaumbulia nini kwa yule kibonge kwako Coca
Hukuona intavoo ya Mobetto??
Aliulizwa je Rick Ross alikupa dollar ngapi, eti anasema hakupewa mara tulikutana kirafiki wala sio wapenzi, yaan anaongeaa huku km anajistukia,

Nkajisemea watu wa ulayaa mchezooo, niliwahi date na jamaa mzungu, sitaki hata kuwasikiaaa, ukiombaa pesa utasikia lete projects plans,

Mbwaa yule sitamsahau kamweee,
 
hivi hii ni kweli, kuna mtu kasoma mkwawa, alisema cheti alichukulia UDSM main campus, nlijua anadanganyaa uwiiiii

Wanawasumbua mbna km hvyoo. Jion utanikutaa dada huwa natokaa saa 2 usiku.
Ndo hivyo
Wanakuja kutesa watoto wa watu kuchukua vyeti mjini.


Ndio system yao hivyo, miaka nenda miaka rudi.
Zamani ilikuwa hadi form za application za kujiunga unafuata chuo hukuhuku.
 
UD kwa miti ndo penyeweee, yaan ni msitu mnene.
Pazuri sana.

Nakumbuka mara ya kwanza nimekuja miaka ya 2006 na 2007 dada yangu alipograduate
Nilikuwa nashangaa Kila kitu
Anatuonyesha madarasa
Mara Cafeteria

Nikawa namwambia sister na mimi siku moja ntakuja kusima huku.
 
Back
Top Bottom