Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Pazuri sana.

Nakumbuka mara ya kwanza nimekuja miaka ya 2006 na 2007 dada yangu alipograduate
Nilikuwa nashangaa Kila kitu
Anatuonyesha madarasa
Mara Cafeteria

Nikawa namwambia sister na mimi siku moja ntakuja kusima huku.
UD km UD,
yaan nikikumbukagaa huwa nacheka sanaa.

Wakati niko Advance, mda wote nawaza UDSM, Najisemea nikikosa kusoma hapo sijui itakuajee,

Ile siku na confirm, uwiiiiiih nilirukaa rukaaa, ila sahivi naona ulikua utoto tyuuh.
 
Ud mnatupiga bao
Mitimiti kama yote

Kule kwetu miti ipo kipindi cha mvua tu,
Kiangazi utapakimbia.View attachment 2591893

Tafuta pisi kali unirushie namba
Sifa awe kajazia asiwe mfupi
Awe na mwanya
Awe na komwe kidogo
Awe mweupe kidogo
Awe anajua English na france
Asiishi Hostel
Asiwe mpare
Awe na jicho fulan la kukata roho
Awe mwaka wa 2

Mwambie mm broo wako
 
Tafuta pisi kali unirushie namba
Sifa awe kajazia asiwe mfupi
Awe na mwanya
Awe na komwe kidogo
Awe mweupe kidogo
Awe anajua English na france
Asiishi Hostel
Asiwe mpare
Awe na jicho fulan la kukata roho
Awe mwaka wa 2

Mwambie mm broo wako
Kazi hii mpe Coca
 
Nimepita kuonja bisi
IMG_20230418_125838_196.jpg
 
Back
Top Bottom