Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,774
- 54,845
Inakuwaje una urafiki na mabinti wadogo kama cocastic?Mimi ni mkubwa kuliko bossleideš
Inakuwaje una urafiki na mabinti wadogo kama cocastic?Mimi ni mkubwa kuliko bossleideš
Coca wetu ndio anatupa umbea wa mastaa hapa mjiniInakuwaje una urafiki na mabinti wadogo kama cocastic?
Siyo inafika jioni wewe hufiki tu
Ntakufata hukohuko.
Baada ya muda nitaondoka.
Huyu ntamfata jioni,asije kupotea mjini hapa
Washazoea Mkwawa Milimani huko Iringa..
Halafu vyeti wanawapea mjini watoto wa watu waoshe macho.




hivi hii ni kweli, kuna mtu kasoma mkwawa, alisema cheti alichukulia UDSM main campus, nlijua anadanganyaa uwiiiiiHuyo kwa umbea wa mastaa tu hajambo. Hivi cocastic kwa nini Paula siku hiz hafungui lile duka lake la nguo la Paulah's Closet pale karibu na Mwenge Mpakani?Coca wetu ndio anatupa umbea wa mastaa hapa mjini
Inakuwaje una urafiki na mabinti wadogo kama cocastic?



nawee Una muamini huyoo?? Akati nimemzidii, mie nilichelewa shule.Nyinyi wote bado wadogo umri huo mnakuwaga wamoto sana mileage badonawee Una muamini huyoo?? Akati nimemzidii, mie nilichelewa shule.
Huyo kwa umbea wa mastaa tu hajambo. Hivi cocastic kwa nini Paula siku hiz hafungui lile duka lake la nguo la Paulah's Closet pale karibu na Mwenge Mpakani?




afungue sasa kuna kitu? Kwan lakee? Mastaa utawaweza sasa?? Yeye anajua kuulilia na kuukatikia ukuni wa wasanii na madanga.






nacheka km mazurii yaan.Nyinyi wote bado wadogo umri huo mnakuwaga wamoto sana mileage bado




wee mie mzee.Leta vitu nakuaminia kwenye hii tasnia ya ubuyu š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£ kumbee duka sio lake ni kujimwambafai tuafungue sasa kuna kitu? Kwan lakee? Mastaa utawaweza sasa?? Yeye anajua kuulilia na kuukatikia ukuni wa wasanii na madanga.
Unajua kuwa Nenga na nandy wanaidaiwa hela ya range ya bday, kumbe walikodi kujimwambafy naloo. Nlitaka nshangae Nandy hela ya kununua range atoe wapii?? Yake enyewe alisota sanaaa mxxiiie na bila yule baba wa mjengoni asingekua nalo.
Eti leo anampa zawadi nenga Rangenacheka km mazurii yaan.
Hii kapo nayo kwa drama hawajambo š¤£š¤£š¤£ Nandy ana mpunga gani wa kumuhonga Nenga RangeUnajua kuwa Nenga na nandy wanaidaiwa hela ya range ya bday, kumbe walikodi kujimwambafy naloo
Broh wako niko poa kabisa...Rhabhekhaaaa mie sijambooo, vipi wee brohzz??
Mobetto Range atoe wapiiii??Hii kapo nayo kwa drama hawajamboNandy ana mpunga gani wa kumuhonga Nenga Range
Hivi ile Discovery 4 aliyokuwa anatamba nayo Mobeto ni yake au ndo swaga za akina Nandy?![]()






Wasanii kweli maisha yao yenyewe tu ni sanaa tosha yaani uhongwe utombweee weee halafu mwenye mali achukue alichokuonga akishakuchoka. šMobetto Range atoe wapiiii??
Mwenye lake baada ya kumaliza kumkojolea vya kutosha kachukua ndinga yake.
Wasanii wananiachaga hoi kweli.
Duka lile ni LA jamaa wa Dubai, ambaye alikua danga lake, na connection aliipata kwa Dimpoz,Leta vitu nakuaminia kwenye hii tasnia ya ubuyukumbee duka sio lake ni kujimwambafai tu
Ila kale katoto kapaula saivi wanakala sana maana hakana mishe yeyote hapa mjini pesa zake za kuukatikia ukuni tu kataishia kama mama yake na hivi shule ilimshinda






Huku kupoo poaaa sanaaaa, vipii huko.Broh wako niko poa kabisa...
Kuna mpya gani huko ulipo leo...?





Nasikia ni jamaa wa Zenji, ni mfanya biashara wa Magari ana yard pia. Si ndo alikua anampeleka vacay Dubengaa, akakutana na Rick Ross ndo jamaa akaamua nae ajiachee.Wasanii kweli maisha yao yenyewe tu ni sanaa tosha yaani uhongwe utombweee weee halafu mwenye mali achukue alichokuonga akishakuchoka.
Nani alikuwa amemuonga ile ndinga?








Duuuh! Kumbe ndivyo ilivyokuwa kwa Paula na lile duka aisee. Masikini hawa mastaa wa bongo naona hata uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana ndo maana wanatumika ovyo na kupigwa chiniDuka lile ni LA jamaa wa Dubai, ambaye alikua danga lake, na connection aliipata kwa Dimpoz,
Ko yeye alikua km msimamizi tyuuh ili achachawe aliwe vyediii, jamaa kaamua kustop na duka limefungwa.
Ila wanaume wabayaaa, tatizo slay wa Bongo hawajifunzi kwa Wema Sepetu.![]()
Kwa jinsi alimshobokea na kumtupiamo kwenye mitandao big boss Ricky hata kama ni mimi ningempokonya ndinga yangu. Kwa hiyo madevu naye kamla Mobeto sijui kaumbulia nini kwa yule kibonge kwako CocaNasikia ni jamaa wa Zenji, ni mfanya biashara wa Magari ana yard pia. Si ndo alikua anampeleka vacay Dubengaa, akakutana na Rick Ross ndo jamaa akaamua nae ajiachee.
![]()
Wasanii wa Bongo hawana hata akili, unahongwa kitu, ila uhalali wa umiliki sio wako, unapewa gari kadi na bima vinasoma jina linginee.Duuuh! Kumbe ndivyo ilivyokuwa kwa Paula na lile duka aisee. Masikini hawa mastaa wa bongo naona hata uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana ndo maana wanatumika ovyo na kupigwa chini




mwsho unaishia kuporwaa na kuliwa umeliwaaa,





Chizi wewePaja Hilo ndyo zuri
Wanakwambia popote kambi
