cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,172
Usiniogopewe mbona muovu kunishinda mimi.. nije nijifunze na mambo mapyaa

mambo mapyaa hiyo kwioooo??Wee mie mtakatifu na msafiii.
Usiniogopewe mbona muovu kunishinda mimi.. nije nijifunze na mambo mapyaa

mambo mapyaa hiyo kwioooo??Ukiona hivyo jua walishapigwa tukioNilicheka jana nilikua palee stand mawasiliano, sasa kuna mwanafunzi wa UD yeye anasoma civil alikua anahoji watu kuhusu project yake.
Sasa kafika sehemu kanikuta mie niko buzzy na cm, pembeni kuna wamama watu wazima wawili wanaongea, yeye kufika pale kujitambulisha ndo akaanza kuwahoji, wale wamama walisimama haraka na kutaka kuondoka huku wanasema "matapeli jamani hawaishiwi mbinu anatuhoji ili atuchanganye akili tumpe vitu hivi tulivyokua navyo, afu mtoto mdogo anashindwa kufanya kazi anataka kutapeli watu wazima"
Jaman nilichekaaa mwenzenu mbavu cnaa,
![]()
Mke mwenza huachiki nitamwambia mumewetu umeamua kubadilisha ladha ila utarudiakusubiri tu

hebu sema kweliii.Siku hizi matapeli ni wengi Sana,alafu Wana mbinu nyingi.Nilicheka jana nilikua palee stand mawasiliano, sasa kuna mwanafunzi wa UD yeye anasoma civil alikua anahoji watu kuhusu project yake.
Sasa kafika sehemu kanikuta mie niko buzzy na cm, pembeni kuna wamama watu wazima wawili wanaongea, yeye kufika pale kujitambulisha ndo akaanza kuwahoji, wale wamama walisimama haraka na kutaka kuondoka huku wanasema "matapeli jamani hawaishiwi mbinu anatuhoji ili atuchanganye akili tumpe vitu hivi tulivyokua navyo, afu mtoto mdogo anashindwa kufanya kazi anataka kutapeli watu wazima"
Jaman nilichekaaa mwenzenu mbavu cnaa,
![]()
Tupiamo kamoja ndugu mjumbeNawee pia karibu sanaa tuselfike nduguuu.. kitrambo sana sijakuona madam nifanyie wepesi mdogo wangu!!
Saramu zimepokerewaaa kwa mikono na Miguu miwilii Dr !. Karibu sana Selfika!!! kwa sauti ya kanda maalum ☺️!Nakusalimu pia madam.
😅😅😅 mtakatifu wa shetani labda maana nae ana watakatifu wake... au nije nikuchukuemambo mapyaa hiyo kwioooo??
Wee mie mtakatifu na msafiii.
Wale wamama waliniacha hoi jinsi walivyo simama kwa haraka, mie hoi kwa kuchekaaa.Ukiona hivyo jua walishapigwa tukio

Lol nina hata picha nzuri basi zote za hivohivo ilimradi tyuuu!!Tupiamo kamoja ndugu mjumbe
Haina nomaa Pamoja Sana Madam ✌️✌️!!Jioni jion dear nitakuita
Ngoja tusubiriemo ndugu mjumbeLol nina hata picha nzuri basi zote za hivohivo ilimradi tyuuu!!
Ngoja niangaliepo kwa gallery nione kama ipoo ndugu mjumbe Usijareee!!
Yaan nilichekaa jana khaaahSiku hizi matapeli ni wengi Sana,alafu Wana mbinu nyingi.
Hao wamama waliamua kujiongeza mapema ingawa haikuwa kweli.

😂😂😂Nilicheka jana nilikua palee stand mawasiliano, sasa kuna mwanafunzi wa UD yeye anasoma civil alikua anahoji watu kuhusu project yake.
Sasa kafika sehemu kanikuta mie niko buzzy na cm, pembeni kuna wamama watu wazima wawili wanaongea, yeye kufika pale kujitambulisha ndo akaanza kuwahoji, wale wamama walisimama haraka na kutaka kuondoka huku wanasema "matapeli jamani hawaishiwi mbinu anatuhoji ili atuchanganye akili tumpe vitu hivi tulivyokua navyo, afu mtoto mdogo anashindwa kufanya kazi anataka kutapeli watu wazima"
Jaman nilichekaaa mwenzenu mbavu cnaa,
![]()
Hivi ndivyo Dunia ingekuwa siku wanadamu wote tungekuwa tumekufa.Nature is taking back this hotelView attachment 2588258
mtakatifu wa shetani labda maana nae ana watakatifu wake... au nije nikuchukue

leo umekulaa nn??Hili jiji inatakiwa ukae kwa machale mtu usie mjua asikuzoee maana kupigwa ni dakika 0Wale wamama waliniacha hoi jinsi walivyo simama kwa haraka, mie hoi kwa kuchekaaa.
![]()
Hongereni sana jamani mlime hata matembele Sasa hapo uwani😂😂Namshukuru Mungu Niko poa sana mrembo.
Dar tumekuwa blessed na mvua leo tangu alfajir.
Karanga mbichi, pweza, maziwa na maji ya kutosha 😅leo umekulaa nn??
Shangazi jana nilicheka km mwendawazimu,

, sasa yule Kaka alivyokuja kwangu na kunionesha project yake ndo nilicheka zaidi 

hadi yeye akawa anachekaaa.