cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 117,915
- 192,400
Wale wamama nimewanyooshea mikono, jinsi walivyosimama chapu kwa haraka, wallah lazima waliwahi tapeliwa walee.Hili jiji inatakiwa ukae kwa machale mtu usie mjua asikuzoee maana kupigwa ni dakika 0
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]