cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,172
wallpaper ya ukutani sio nzuri.
wallpaper ya ukutani sio nzuri.
Embu na wewe tukuone kama unalo maana nawe si mzuriWanawake wazuri wengi wana makomwe. So ur beautiful mamii 😘😘😘
wallpaper ya ukutani sio nzuri.
Ngoja nikuwekeee Tena usingiwizi wake chinoKapachino mnywanii sijaiona usintamieee kwani umetupia??
Hii app inasumbua, hata sijaona picha lol.
Santo sana mjombaaa naona mti umefichaa kitruuuu😁😁🤭🤭!!
Unyama ni kutumia Browser tu Mama Mizagamuo.Hii app inasumbua, hata sijaona picha lol.
Fanya hivo mnywaniiii! Saii nipo kodo sipepesi hata kopee!Ngoja nikuwekeee Tena usingiwizi wake chino
Kamaaa kauwaaa najazaa kikombeeeSanto sana mjombaaa naona mti umefichaa kitruuuu😁😁🤭🤭!!
Barikiwa sana mjomba nasikia mtindi ni mzuri kwa nanihiii!
Unyama ni kutumia Browser tu Mama Mizagamuo.





browser siiwezi mie.Njoo gheto nikueleze hadi uizoeebrowser siiwezi mie.
😂😂😂😂😂 thubutuuuuuNjoo gheto nikueleze hadi uizoee
Nilikuwekea hii tbt!Fanya hivo mnywaniiii! Saii nipo kodo sipepesi hata kopee!
😅😅😅 nakusaidia na kuandaa documentation ya project na kuizoee google chrome chap kwa haraka😂😂😂😂😂 thubutuuuuu
Leo jf inanifanyiajee makusudi mimiii😌😌😌 lol! Hata haifunguki kwangu!Nilikuwekea hii tbt!
App inazingua kinoumaaa bora browser!browser siiwezi mie.
Eendiwoooooooo!! Full kujaziliziaaaaa😁😁Kamaaa kauwaaa najazaa kikombeee
Na sio kwako tu jf imekua kimeo kweli kweli kwenye pichaLeo jf inanifanyiajee makusudi mimiii😌😌😌 lol! Hata haifunguki kwangu!
Kumbe nawe hujaona ndugu mjumbe jf sikuhizi inazingua sio kidogooooo!!Na sio kwako tu jf imekua kimeo kweli kweli kwenye picha
Unafanyaga mwenyew usafi😂😂😂