Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 12,527
- 35,718
hehehe jamani radi zimeniogepesha
Unaogopa radi mbona mkunyenge huogopi
hehehe jamani radi zimeniogepesha
Malizia mfungo weweBabu
Hako ka lips kame fanya nipeleke hisia mbali kweli
Zote tunamaliza akibaki kitu😁😁😁😁Malizia mfungo wewe
Tena na sita u
Malizia mfungo wewe
Tena na sita upige
hehehe radi zimepiga mbaya sana . Unahisi nyumba imeanguka .Unaogopa radi mbona mkunyenge huogopi
Kigoma au rukwa utaishi kweli maana ndio kuna mkubwa wa radihehehe radi zimepiga mbaya sana . Unahisi nyumba imeanguka .
hapana aisee nipo dar sema nje ya mji . Imepiga balaa mvua alfajiri hiKigoma au rukwa utaishi kweli maana ndio kuna mkubwa wa radi
Kiradi chenyewe kidogo hivyo kuna siku niko rukwa imepiga radi mpaka gari imezimahapana aisee nipo dar sema nje ya mji . Imepiga balaa mvua alfajiri hi
hujaziona tu , watu bado wanaziongelea huko nje .. Nikahisi dunia imeisha , hata sina mtoto lolKiradi chenyewe kidogo hivyo kuna siku niko rukwa imepiga radi mpaka gari imezima
Unasubiri ninihujaziona tu , watu bado wanaziongelea huko nje .. Nikahisi dunia imeisha , hata sina mtoto lol
Haha sina hata mchuchuUnasubiri nini
Umetoka lodge lol ?View attachment 2588362
Kazi za watu
Umetoka lodge lol ?
Nishaamka , muda japo baridi na kamvua haka .Ww Umelala unaogopa radi
Nishaamka , muda japo baridi na kamvua haka .
Oyaaaa nishtulie tonnia! hii hali ya hewa sio.
Jirani Kama jirani pole kwa baridiNishaamka , muda japo baridi na kamvua haka .