Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20230415_104410.jpg

Maana halisi ya Visit Tanzania🤗

Hello Saturday 🥂
 
Nilicheka jana nilikua palee stand mawasiliano, sasa kuna mwanafunzi wa UD yeye anasoma civil alikua anahoji watu kuhusu project yake.

Sasa kafika sehemu kanikuta mie niko buzzy na cm, pembeni kuna wamama watu wazima wawili wanaongea, yeye kufika pale kujitambulisha ndo akaanza kuwahoji, wale wamama walisimama haraka na kutaka kuondoka huku wanasema "matapeli jamani hawaishiwi mbinu anatuhoji ili atuchanganye akili tumpe vitu hivi tulivyokua navyo, afu mtoto mdogo anashindwa kufanya kazi anataka kutapeli watu wazima"

Jaman nilichekaaa mwenzenu mbavu cnaa,
 
Back
Top Bottom