Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,096
- 61,497
Hongera kama umeacha, juzi kuna Mzee mwenzangu mmoja alinishawishi twende kuona yanayoendelea kule ili kufanya ulinganifu na mambo ya klabu zetu za mwaka 1957.[emoji23][emoji23][emoji23] nimeacha kwenda kidimbwi kabisa labda ukinipa ofa
Kusema kweli mlichotuzidi nyinyi vijana wa kileo ni matumizi ya Shisha tu, ila kama ni Bata Wazee wenu hapa tulikula kuwazidi 🤗😜🏃♂️🏃♂️🏃♂️