kiduku mpapaso
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 1,987
- 4,872
Cha kawaida kabisa hicho ndugu mjumbeWee bichwa langu libubwa ndugu mjumbe![]()
Cha kawaida kabisa hicho ndugu mjumbeWee bichwa langu libubwa ndugu mjumbe![]()
hahaha kwa style hii chocho kwa chocho Bantu Lady atapatikana tu toka uko mafichoni aliko
njoo nikuone basi! Kiroho cha chino kitulie.Amina kubwaaaaaah!
Nipoo nipoo hapaa Chino akee!! Nimekumissooo hadii basiiiinjoo nikuone basi! Kiroho cha chino kitulie.
ulikuwa wapi aise? Siunajua bila wewe chino hajiweziNipoo nipoo hapaa Chino akee!! Nimekumissooo hadii basiiii
Vipi we mzee wa hall V BL kapatikana?
Nilikua bize saluniii Chino Akeee!!ulikuwa wapi aise? Siunajua bila wewe chino hajiwezi
Hapana bado mkuu. But anasamba upendo tuuuVipi we mzee wa hall V BL kapatikana?
wow hongera!Nilikua bize saluniii Chino Akeee!!
BL yupoo ila ametingwa kidogo atakuja badae!!
Bantu Lady tupunguzie mateso embu fanya uje utubless aise
We fanya Ku clear bill ya saluni. Chap kichwa kinakuwa blessed hapawow hongera!
Kwaiyo leo tunaona kichwa eh?
haha! limepita ilo kwa tonniah sina ubishi ngoja arudiWe fanya Ku clear bill ya saluni. Chap kichwa kinakuwa blessed hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kichwa kama kichwa 🤭🤭!! Sijamaliza hadi kesho sema Nataka kusuka kama hizi mnywanii!! Zinakaa muda mrefuwow hongera!
Kwaiyo leo tunaona kichwa eh?
We love you too sweetheart 😘😘! Enjoy your night kipenzi!!!Nimewamiss hamjambo? Nilikuwa busy na maandalizi ya Easter kesho. Nawapenda sana 😘😘😘
Wewe ukanikaziaKichwa kama kichwa!! Sijamaliza hadi kesho sema Nataka kusuka kama hizi mnywanii!! Zinakaa muda mrefu
Thank you Beautiful Tonnia 😍😍😍 sleep tight 🤗We love you too sweetheart 😘😘! Enjoy your night kipenzi!!!