sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
HongeraNimezipata zoteeee asenteeeee
Viashilia
Kumbe upo tuView attachment 2580135
Leo nimeamua kuzifuata pembejeo zangu hukuhuku, nina muda mrefu wanasema eti wako wanazipakua 😜
Hello Friday 🥂
ThxBig up mwamba
Uko real sana.
DogoView attachment 2580135
Leo nimeamua kuzifuata pembejeo zangu hukuhuku, nina muda mrefu wanasema eti wako wanazipakua
Hello Friday![]()
NdioHelloowww granpa!! Miss you sanasanaaa!!
Enjoy your weekend babuu !!


Acha manenoNilitingwaa sio kutungwaa!
Nipo boss wangu, hawa vijana wa miaka hii hawaogopi kutaka kunizulumu pembejeo Babu yao hapa😜🏃♂️🏃♂️Kumbe upo tu
Na Uzee wote huu unaniita Dogo 😜Dogo
Karibu kigamboni
Ha ha ha
Nipo boss wangu, hawa vijana wa miaka hii hawaogopi kutaka kunizulumu pembejeo Babu yao hapa![]()


pole mzee si unge niagiza mimi tuhahaha!
Asante Sana chief
Nawewe usiwe kama wao, nitakupima uaminifu wako kwa kukupa Ada ukanilipie kwenye shule wanazosoma Wajukuu zangu next week kama hujala na marafiki zako Kidimbwi 😜pole mzee si unge niagiza mimi tu
Nawewe usiwe kama wao, nitakupima uaminifu wako kwa kukupa Ada ukanilipie kwenye shule wanazosoma Wajukuu zangu next week kama hujala na marafiki zako Kidimbwi![]()


nimeacha kwenda kidimbwi kabisa labda ukinipa ofa