Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

namuomba msamaha Sana Bantu Lady nilimkosea Sana
Nafuta kauli!

Ye ndo namba 1. 2. 3( tumjengee sanamu lake tu mnywani
Unasemaaaahhhh..😁
Ongeza sautiiii wasikiePullliiizzzzzzzzzzzzzzz 🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️👌!

Hakuna kama Bantu Lady buanaaa mtrotro mkareee kuanzia unyayooo hadi unywelee weeeuuuwweeeeehhh!!
 
Happy birthday to you mtrotro mkaree mwenye lips zakee Aaliyyah
Allah akujalie afya njema na maisha marefu deaaarrr!! 😘😘!

Sipati picha mizawadi yakee toka kwa mwambaaa!!😘!!
Thank you dear Nina upweke sana Hii birthday nimekosa nguvu ya kusherehekea birthday Leo nimeshare mwez na Kifo Cha babaangu but ndo Ivo nishacancel na oda ya keki nipo hapa nashangaa shangaa
 
Unasemaaaahhhh..😁
Ongeza sautiiii wasikiePullliiizzzzzzzzzzzzzzz 🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️👌!

Hakuna kama Bantu Lady buanaaa mtrotro mkareee kuanzia unyayooo hadi unywelee weeeuuuwweeeeehhh!!
Hamna bana jana Chino alikuwa anasubiria Daku. Kuona ile selfie akahisi ndiyo Daku 😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom