Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,982
- 177,205
Bantu Lady do the needful asubuhi ya Chino ikae vizure pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!☺️fanya fanya japo nimuone huyu mtoto mnywani nisafishe nyota!
Bantu Lady do the needful asubuhi ya Chino ikae vizure pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!☺️fanya fanya japo nimuone huyu mtoto mnywani nisafishe nyota!
Wengi Sana washazeeka!Kabisa na mtu ukijua hili, unajituliza laah na haya magonjwa ndiyo kabisa. Kuna vitoto vishachoka vinatandikwa right and left. Tujipende na kutulia.
Vijana mambo elfumbili kidogo ☺️☺️😁!!Wewe katoto ni kachizi unajua 😄😄😄😄🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻 vile vitoto namba E bana. Sisi mashangazi tumefika hapa tumekwepa mengi sana dear. Usichana tuliutumia vizuri.
😂😂Dah Leo umeongea Kwa uchungu sanaWengi Sana washazeeka!
mtoto umezaliwa 2000s tiyari ushachakazwa! Inahuzinisha Sana.
Na bora uchakazwe Sasa kwenye ndoa just na kina sisi hapa kina kapachino wazee wa ku hit na run
Natamani macho Yangu yafanywe ya muone yeye tu!Bantu Lady do the needful asubuhi ya Chino ikae vizure pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!☺️
Pole dear , Mungu akupe faraja moyoni mwako .Thank you dear Nina upweke sana Hii birthday nimekosa nguvu ya kusherehekea birthday Leo nimeshare mwez na Kifo Cha babaangu but ndo Ivo nishacancel na oda ya keki nipo hapa nashangaa shangaa
Haha you know am just saying in lemutuz voice.😂😂Dah Leo umeongea Kwa uchungu sana
Mbantu hanaga uswahiliiii Kabisaaa atakuja kukubless mnyama mkaree UsijareeeNatamani macho Yangu yafanywe ya muone yeye tu!
Shukrani kipenzi nashukuru Mungu Kwa neema ya uhaiPole dear , Mungu akupe faraja moyoni mwako .
so sad yote hayo ni sababu ni pesaWengi Sana washazeeka!
mtoto umezaliwa 2000s tiyari ushachakazwa! Inahuzinisha Sana.
Na bora uchakazwe Sasa kwenye ndoa just na kina sisi hapa kina kapachino wazee wa ku hit na run
Haha umkwepa mishale mingi ya Mzee wa kupambania na mzabzab.Wewe katoto ni kachizi unajua 😄😄😄😄🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻 vile vitoto namba E bana. Sisi mashangazi tumefika hapa tumekwepa mengi sana dear. Usichana tuliutumia vizuri.
Umeonaee yaani nimecheka kachizi sana haka ka Tonnia😄😄😄😄😄Yani huyu akilizake anazijua mwenyew 😂😂😂
pole ni recent , haijapita 5 years ?Shukrani kipenzi nashukuru Mungu Kwa neema ya uhai
Haki tena hufananii, nilikuwekea picha fulani hivi tofauti. Asante kwa kutublessTemporary post 😱😱
Hata engine bila shaka ina mlio mzuri aihitaji vipipi kifua au nasema urongo ndugu Yangu Bantu LadyVijana mambo elfumbili kidogo ☺️☺️😁!!
Walai umejua kujitunzaaa kama kigoriiiii nyieee😍😍!
Hizo hekaheka sijawahi maishani mwangu, navisikia tu na kuona kwenye mitandao. Sijawahi waza kutumia. Naamini Mungu alivyoumba alijua ibaki hivyo. Na ni motroooooo 😄😄😄🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️Hata engine bila shaka ina mlio mzuri aihitaji vipipi kifua au nasema urongo ndugu Yangu Bantu Lady
Uliniwekea taswira ya namna gani? 😅😅😅Haki tena hufananii, nilikuwekea picha fulani hivi tofauti. Asante kwa kutubless
Kabesaaa mnywanii kitu smoooothhhh!!!😁Hata engine bila shaka ina mlio mzuri aihitaji vipipi kifua au nasema urongo ndugu Yangu Bantu Lady
Siri yangu 😄😄😄😄😄Uliniwekea taswira ya namna gani? 😅😅😅