Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nikasema kijana umeona mambo mazuri umelamba mbele! Vizuri uliwahi kuja. Maana Mimi ndio ningejisikia vibaya zaidi maana ndi niliyemuomba Bantu Lady naye bila hiyana akakubali mtoto wa watu sababu ni msikivu pia.
Hivi kumbe ni wewe umefanya mpka atupie 😁 na mtoto akatupia aisee nimeshaanza kukuonea wivu umempa nn 😁
 
Back
Top Bottom