Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Gari imesoma kilometa chache sana! Haitumiki ovyo ovyo itakuwa.

Wanaopata bahati ya kuiendesha waniazime icho kimzizi chino
Ila kusema kweli sipendagi kutumika kabisa. Yaani nauheshimu mwili wangu kuliko, bora niambiwe naringa ila acha nikae hata miaka 2 bila sex ila nikija kuwa na mtu, ni wa uhakika. Wasichana wadogo wanavyotumika, wanazeeka kabla ya umri nawaonea huruma sana. Life is Good...
 
namba E ila nyonyo tiyari liko tumboni! Wanawake mkigawa ovyo ovyo miaka mitano 5 mingi!

mnakongoroka kiasi kwamba hata kitumbua chako ukikidondusha sisi tunaruka Kama hatukioni

Sisi always hatuishiwi ubora! Ukichoka tunaagiza gari mpya! Kazi inabaki kwako.
 
Kweli kipenzi tunapenda kuslay lkn gharama zake ni kubwa kama hauna kazi
 
namba E ila nyonyo tiyari liko tumboni! Wanawake mkigawa ovyo ovyo miaka mitano 5 mingi!

mnakongoroka kiasi kwamba hata kitumbua chako ukikidondusha sisi tunaruka Kama hatukioni

Sisi always hatuishiwi ubora! Ukichoka tunaagiza gari mpya! Kazi inabaki kwako.
Kabisa na mtu ukijua hili, unajituliza laah na haya magonjwa ndiyo kabisa. Kuna vitoto vishachoka vinatandikwa right and left. Tujipende na kutulia.
 
Ila kusema kweli sipendagi kutumika kabisa. Yaani nauheshimu mwili wangu kuliko, bora niambiwe naringa ila acha nikae hata miaka 2 bila sex ila nikija kuwa na mtu, ni wa uhakika. Wasichana wadogo wanavyotumika, wanazeeka kabla ya umri nawaonea huruma sana. Life is Good...
πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“Œ
Ukisikia
Yallaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ujue limenipataaaaaa🀣!!
Ukweni mchungu!!
 
Wewe katoto ni kachizi unajua πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ» vile vitoto namba E bana. Sisi mashangazi tumefika hapa tumekwepa mengi sana dear. Usichana tuliutumia vizuri.
 
Yani huyu akilizake anazijua mwenyew πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom