Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,974
- 177,195
Niko vyedi sana dear nina hata jipya basii! Sina kipenzi !Uko poa mamii, nasubiria yako 😉😉😉🤣🤣🤣🤣🤣
Niko vyedi sana dear nina hata jipya basii! Sina kipenzi !Uko poa mamii, nasubiria yako 😉😉😉🤣🤣🤣🤣🤣
Mbavuuu zanguuu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jumba bovu limeangukia kwangu tena 😠😠😠😠. Salamu zimefika Kapachino unasalimiwa na kumissiwa na mtoto mzuri huku. Fanya chap kwa haraka umponye 😘😘😘😘Mbavuuu zanguuu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mbantu wee mtu mbad jamaneee ulichomfanya sumbai wawatu Mungu anakuona ujue 😁😁😁😁😁!!
Tena mwambie Chino nishammisso hadi naumwaa hapaa😁!
Mornie sweethatooo!!
Jumba bovu limeangukia kwangu tena 😠😠😠😠. Salamu zimefika Kapachino unasalimiwa na kumissiwa na mtoto mzuri huku. Fanya chap kwa haraka umponye 😘😘😘😘
Mzigua kama mzigua 👌
Usijaliii jioni tukiwa tumepumzika, nitakubless hata mkono tu 😉Namsubiria jionii tukishafturuu saii tumefunga ujuee😘😘!!
Jana ukanidindia kunibless kipenzi Mungu hapendi ujuee!! Nifanyie wepesi asubuhi Yangu iende vizuri jamanee ukojee ☺️☺️☺️😁! In Wigelekelo voice!😁
Nakuona kwenye ubora wako mzee baba mambo ya kilingeni
Mi mwenyewe nimemisoo kweli kweli Anko bila shaka ametingwa na anaendelea vizuri!!Usijaliii jioni tukiwa tumepumzika, nitakubless hata mkono tu 😉
Jamani Ankol wetu yuko kimya sana National Anthem popote ulipo, salamu zikufikie ✌
nzuri vipi weweHabari za nyinyi
Niko poanzuri vipi wewe
Ankol wako ana ndoa na kitabu sasa 🥲🥲🥲Usijaliii jioni tukiwa tumepumzika, nitakubless hata mkono tu 😉
Jamani Ankol wetu yuko kimya sana National Anthem popote ulipo, salamu zikufikie ✌
okay siku njema .Niko poa
Una nini Ankol? 😅😅😅😅😅 hongera sana Ankol wetu. Ndoa ni jambo jema na kuongeza Elimu pia. Kila la kheri Ankol Mwenyezi Mungu akutangulie.
mi ndomana nimechaghua ki vits changu! Bantu Lady Ni zile tipper aina ya mende zinazobeba kokoto kule maeneo ya lugoba ukiwa nayo lazima ujipange otherwise Ni mwendo wa kupigwa knock out tu!Mbavuuu zanguuu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mbantu wee mtu mbad jamaneee ulichomfanya sumbai wawatu Mungu anakuona ujue 😁😁😁😁😁!!
Tena mwambie Chino nishammisso hadi naumwaa hapaa😁!
Mornie sweethatooo!!
Nacheka kama mazuri, Chino jamani huko umezidisha...mi ndomana nimechaghua ki vits changu! Bantu Lady Ni zile tipper aina ya mende zinazobeba kokoto kule maeneo ya lugoba ukiwa nayo lazima ujipange otherwise Ni mwendo wa kupigwa knock out tu!