Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 3,505
- 8,713
Akubariki nawe pia mkuuHaya mungu aendelee kuwabariki 😀
Akubariki nawe pia mkuuHaya mungu aendelee kuwabariki 😀
Wasikivu hao sema walikuwa offline tu!!Nilitaka kupata presha nyinyi watu wawili leo mngeniota 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
SawasawaTubless
Tupo
Happiest birthday dearest AuntieMdogowenu nimekua Miaka inasogea uzee nao unapiga hodi
Huwa Sipendi kutoka Wala kujichanganya sana lakini jukwaa hili limekuwa linanifanya siku zinasogea kiaina nawakubali sana na nawapenda
@bantulady@Antonnia@Kapachino
Mjep Depal@lennie@rara rere
Tinsley Saint Anne Mshana Jr nawengine ambao sijawataja lkn mpo moyoni 😍😍tuendelee kufurahia neema Hii ya uhai
Heri ya sikuyangu ya kuzaliwa
Nimewabless kiroho safi
View attachment 2571532View attachment 2571533
Amiin amiin kipenzi mm pia nawapenda wew pamoja na Junia 😍Happiest birthday dearest Auntie
Tunakupenda na tunakuombea mema..
Allah azidi kukutunza na kukuinua siku zote 🙏
napenda sana reality tv shows , hapa kuna moja naipenda balaa . Nimeanza kuangalia kina kardashians toka nipo na miaka 18 . Inasaidia sana unajua vitu vingi and so entertainingHivi uko familiar kiasi hiki na hizi mambo!
happy birthday dear , ubarikiwe maradufu . Mungu akuweke viwango vipya katika maisha yako ukawe juu siku zote . Wishing you all the bestMdogowenu nimekua Miaka inasogea uzee nao unapiga hodi
Huwa Sipendi kutoka Wala kujichanganya sana lakini jukwaa hili limekuwa linanifanya siku zinasogea kiaina nawakubali sana na nawapenda
@bantulady@Antonnia@Kapachino
Mjep Depal@lennie@rara rere
Tinsley Saint Anne Mshana Jr
cocastic mke mwenza nimekumiss na wengine ambao sijawataja lkn mpo moyoni
Amiin dear na Asante sanahappy birthday dear , ubarikiwe maradufu . Mungu akuweke viwango vipya katika maisha yako ukawe juu siku zote . Wishing you all the best
kuwa mkubwa jamani , aren't you scared a bit . Nishachoka na maswali unajiona mdogo hahahaha , Why unaishi mwenyewe dahAmiin dear na Asante sana
Happy Born day Beautiful Aaliyyah wishing you Health, Wealth and Joy...Mdogowenu nimekua Miaka inasogea uzee nao unapiga hodi
Huwa Sipendi kutoka Wala kujichanganya sana lakini jukwaa hili limekuwa linanifanya siku zinasogea kiaina nawakubali sana na nawapenda
@bantulady@Antonnia@Kapachino
Mjep Depal@lennie@rara rere
Tinsley Saint Anne Mshana Jr
cocastic mke mwenza nimekumiss na wengine ambao sijawataja lkn mpo moyoni 😍😍tuendelee kufurahia neema Hii ya uhai
Heri ya sikuyangu ya kuzaliwa
Nimewabless kiroho safi
View attachment 2571532View attachment 2571533
😀😀Pole dear hautaishi mwenyew sikuzote ila kunawatu wanamaswali 😀kuwa mkubwa jamani , aren't you scared a bit . Nishachoka na maswali unajiona mdogo hahahaha , Why unaishi mwenyewe dah
Thank you enjoy ur night mrembo haswaaa 😘😘😘😘😘Thank you mdada mzuri usie na shida na mtu 😍
asante kipenzi , watuache tukue kidogo japo siku hazigandiThank you mdada mzuri usie na shida na mtu
Maombi
Vitu vidogo sana hivo dear Mungu yupo pamoja na wenye kusubiri usipokuwa na subra utaona mambo magumu kumbe wapiasante kipenzi , watuache tukue kidogo japo siku hazigandi
Thank you beautiful kwa maneno ya faraja . kama wazungu wanavyosema patience is virtue ..Vitu vidogo sana hivo dear Mungu yupo pamoja na wenye kusubiri usipokuwa na subra utaona mambo magumu kumbe wapi
Tujifunze kufurahia wakat tulionao hayo mengine tutafurahia yakitokea