Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 3,505
- 8,713
Hahaha ngachokaHavilipiziwagi hivyo, unaweza jikuta unaongezewa malipizi wewe 😅😅😅😅
Hahaha ngachokaHavilipiziwagi hivyo, unaweza jikuta unaongezewa malipizi wewe 😅😅😅😅
Mzee unatishaNina folder la .... Wa kipindi hicho.
Utaangalia tuu Korean drama kilazima. Ili hoja zangu zikubaliweeView attachment 2571224
Madam,Aliweka? Kama hakuweka nadhani huu diyo wakati sahihi kabisa kufanya hivyo!!Ariya Aaliyyah reo asubuhi Yangu haijakaa poa kabisa mdogo wangu nikikuona ntakua thawaa njoo unibresi pullliiizzzzzzzzzzzzzz! Kwa sauti ya Bantu rediBantu Lady
Thanks saana Kaka.Bantu Lady na sumbai ndo mida yenyewe hii! Karibuni karibuni iftari ndugu bila kusahau uji wa pilipili manga
Shukrani Chino Iftar njema... tunakaribia.Bantu Lady na sumbai ndo mida yenyewe hii! Karibuni karibuni iftari ndugu bila kusahau uji wa pilipili manga
Haha hawana shida Hawa!Thanks saana Kaka.
Fanya mpango Leo nimeone mrembo wangu BL na Antoniaaa
Fanya makeke mzee wa food testing
Nipo niambie
Poa mrembo,nimekuita ili uselfike.Nipo niambie
Poa mrembo,nimekuita ili uselfike.
Usisahau kunitag.Ooh sawa badae kidogo bas
Hivi uko familiar kiasi hiki na hizi mambo!I think Khosi atashinda Big Brother Titans , Why lol .
Hebu lala Chino. Muda wa kuota ndoto nzuri huu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Bantu Lady usingizi umegoma kabisa mpaka nihone nanihono ndugu Yangu; unamsaidiaje Chino?? maana Antonnia kaamua nitosa nakuingia mmitini!
Navuta vuta mda wa dakuHebu lala Chino. Muda wa kuota ndoto nzuri huu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Daku ni saa 8? Ooh nilisahau kama kuna Daku.Navuta vuta mda wa daku
Hii ndio mida mizuri ya kuimarisha afya ya macho.
Nakutegemea sana
Huwezi kukaukiwa wewe!Daku ni saa 8? Ooh nilisahau kama kuna Daku.
Sina hata picha jamani 😉
Hawezi futa picha usimqote delete comment yako nduguWoyoo😍😍