Nights sweet lady.Usiku mwema wapendwa mrare unono ✌️✌️😴😴😴
Poa,mambo vipi?Mrembo wangu mambo
Sawa nitanunua,mie kazi yangu kuwapikia wapiga dawaNdiyo usisahau kuninunulia dawa ya Magugu![]()


Niko poa ukapotea kutoka jana ulikuwa wapiPoa,mambo vipi?
Hizi nyingi zimejengwa Sana kipindi cha late president Magufuli.Mzee wa hall V
Hivi hapaa unapajua?? Au ndio miaka Ile ilikuwa bado haijajengwa. Palikuwa njia ya kwenda yombo 4View attachment 2538213
Hmmm....nisije kukamatwa na magendo.🤔Nitakuelekeza butcher..
NaaamHizi nyingi zimejengwa Sana kipindi cha late president Magufuli.
Kipindi kile hazikuwepo;
Naona pamekuwa ushuani sana
Jana nilikuwa najiuguza,yaan simu nilikuwa naiona sumuNiko poa ukapotea kutoka jana ulikuwa wapi
Unajiuguza nnJana nilikuwa najiuguza,yaan simu nilikuwa naiona sumu
Kuwa na Phd utakuwa na connection na wakubwa, au yako ya mchongo 🤔?.Hmmm....nisije kukamatwa na magendo.🤔
Hii nilipewa kabla hata sijaanza kuandika thesis yangu...ndio hizo za mchongo??😳😶🌫️Kuwa na Phd utakuwa na connection na wakubwa, au yako ya mchongo 🤔?.
Halafu nyama ya ngamia ni magendo?
Sijawahi ona Ph.D inapatikana hivyo, 🤔.Hii nilipewa kabla hata sijaanza kuandika thesis yangu...ndio hizo za mchongo??😳😶🌫️
Huku kwetu sijawahi kuona so lazima niulize.🙄
Itakuwa ndio mfumo mpya...mambo ya kwenda na wakati. 🤓Sijawahi ona Ph.D inapatikana hivyo, 🤔.
Sio kwamba nyama pori ndio magendo?
Maashaa Allah