kiduku mpapaso
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 1,987
- 4,872
Naombae Bantu LadyJioni hii kwa juice, chai ya maziwa...View attachment 2536126
Naombae Bantu LadyJioni hii kwa juice, chai ya maziwa...View attachment 2536126
Hii imenipitaAntonnia was here guys enjoyur evening and takes care of yourselves wapendwaaa!
Bantu Lady kiduku mpapaso Tayukwa leadermoe
Uje unisaidie kuvuna Mjukuu 🤗
Mi nasubiri mafuta tu babuUje unisaidie kuvuna Mjukuu![]()
Jambo mrembo
Jambo sana
Shamba limependezaView attachment 2535935
Mwaka huu lazima tupandishe bei ya Mafuta ya Kupikia hadi ifike 20,000/Lt ,manake Kulima tumeachiwa sisi tu Wazee
Hello Friday![]()

Kijana hongera wa kike au kiume?Leo siku ya kukaa na kijana wangy gu sang gu
Nyiie mtoto raha onGezeni nguvu kutafuta
Kijana unakula bata
Mrembo wangu mamboShamba limependeza![]()
Ndiyo usisahau kuninunulia dawa ya Magugu 🤪Shamba limependeza![]()
Usijali mjukuu, utapata lita 20 bila shaka
Nipe connection babuNdiyo usisahau kuninunulia dawa ya Magugu![]()
Nyie vijana mkisema connection mnaweza mkawa mnamaanisha zile connection zenu zile nyingine 🤪Nipe connection babu
WakiumeKijana hongera wa kike au kiume?