Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,246
- 90,426
kwakuona vidole tu, yaliyomo yamo
kwakuona vidole tu, yaliyomo yamo
Hahaa kumbe ....kwakuona vidole tu, yaliyomo yamo
Auweeeeehhh ✌️✌️✌️✌️😍!! hakika mchana wangu unaisha vizureee!!
Nimeona nimeona mkuu uko vizureeee!!✌️✌️✌️!!
Moyo wako umenifanya niwe hiviNimeona nimeona mkuu uko vizureeee!!✌️✌️✌️!!
Santo sana
Moyo wangu mimi kama mimi???😳😳🤔🤔🤔!Moyo wako umenifanya niwe hivi
Umestukaaaa mpaka naogopa. Ndio moyo wako kwa upendo wa kuniita hapa na kupata baraka zako😁Moyo wangu mimi kama mimji???😳😳🤔🤔🤔!
Santo sana asee
Weee nimeogopa kweli uvosema moyo ujue😎!!Umestukaaaa mpaka naogopa. Ndio moyo wako kwa upendo wa kuniita hapa na kupata baraka zako😁
Nashukuru nimefika sasaWeee nimeogopa kweli uvosema moyo ujue😎!!
Yeah mkuu hapa ni kuselfika kwakwenda mbele!
Karibu sana Selfika mkuu mara moja moja unatubless kama hivi!!
Mbona sijaona na mimi kila siku lazima niwe hapa kuona mambo mazuri. 😀 Yangu iko njiani inakuja muda si mrefuLol kila leo natupia mkuu tena nimekumbuka una deni Langu!! Uliahidi utatubless hadi waleo sijaona 🤳 yako ujue fanya wepesi utupie basiii!
hahahaha,huwa tukiangalia vidole tu ,tunajua YaliyomoHahaa kumbe ....
Weee muongo mie natupia kila leo.. hebu tifanyie manuva leo nawewe acha hizooo!Mbona sijaona na mimi kila siku lazima niwe hapa kuona mambo mazuri. 😀 Yangu iko njiani inakuja muda si mrefu
Mkali wa hizi kazi, au siohahahaha,huwa tukiangalia vidole tu ,tunajua Yaliyomo