Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 3,505
- 8,713
Msalimie dada!Mazee kesho goja nifike USA kwanza kidogo 😅😅😅View attachment 2525606
Msalimie dada!Mazee kesho goja nifike USA kwanza kidogo 😅😅😅View attachment 2525606
😅😅😅 kitu kwa hewaMsalimie dada!
Nimefail 😥😥😥😥 nikianza editing na kusave, inafutika but kwako ipo 🤔 na nikidelete direct ndiyo mashikolo mageni 😄😄😄😄Jamani jamani!
Fanya Kama vile uone
Nakubali!😅😅😅 kitu kwa hewaView attachment 2525613
Kiswahili ni noma 😄Kipanya🤣🤣
Nimeona bado ipo nikasema umechemka;Nimefail 😥😥😥😥 nikianza editing na kusave, inafutika but kwako ipo 🤔 na nikidelete direct ndiyo mashikolo mageni 😄😄😄😄
Yaani labda simu zinatofautiana 😊😊😊😊 nimeenda edit, but kile cha kudelete kwenye picha ndogo ya chini, nikasave... mzigo bado upo 🤣🤣🤣🤣🤣 siweki tena picha zangu 😪😪😪😪 hazifutiki kumbe heeeNimeona bado ipo nikasema umechemka;
Ukiweka edit kwenye ile picha Kuna kuwa Kuna option ya delete then idelete afu save Tena: ulifanya ivo.
Dah Yani ndo tunalala hivi hivi
Sasa itabidi uni alike nije nikupe somo vizuriYaani labda simu zinatofautiana 😊😊😊😊 nimeenda edit, but kile cha kudelete kwenye picha ndogo ya chini, nikasave... mzigo bado upo 🤣🤣🤣🤣🤣 siweki tena picha zangu 😪😪😪😪 hazifutiki kumbe heee
Last time 😅😅😅😅View attachment 2525624
Nimechemsha 🤣🤣🤣🤣🤣 hakuna hivyo vitu kwangu. Siwezi picha zangu tena finito madonna 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻Ngoja tuone
Haha usitufanyie ivo kwani una deni na mtu humu! Jiachie maisha ndo haya haya bestNimechemsha 🤣🤣🤣🤣🤣 hakuna hivyo vitu kwangu. Siwezi picha zangu tena finito madonna 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻





Ewaaaaa....Blessed hands View attachment 2525700
Wa kwangu mkonoEwaaaaa....
Ila umeficha sana mama mchungaji
almanusura hahahahhaMpira haramu jamniwakibutua kocha kazi anayo
![]()