Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,986
- 48,479
Kwakuwa umemtaja mayele kakitupe tu icho😂😂Pole tupe sisi wazee wa tecno!
Kio kinatetema Kama mayele mda wote ukiianza kutype
Kwakuwa umemtaja mayele kakitupe tu icho😂😂Pole tupe sisi wazee wa tecno!
Kio kinatetema Kama mayele mda wote ukiianza kutype
Dah; ili nisiwe Naona mambo mazuri humu selfikaKwakuwa umemtaja mayele kakitupe tu icho😂😂
Kwema jiraniSalam kwenu wadau
😀Dah; ili nisiwe Naona mambo mazuri humu selfika
Pole 😄😄😄😄😄 Bangi itakuwa wamekupa mbichi hiyo Ankol 🤔Bangi ya leo mbona inaka kunilaza mapema nisione mtu alie shushwa Bantu Lady 😔😔
Nilikula bangi kale alafu nimeshinda juani 🥸🥸🥸Pole 😄😄😄😄😄 Bangi itakuwa wamekupa mbichi hiyo Ankol 🤔
Leo atubless Boss lady Antonnia kama zawadi ya kurudi SF...
Kwa jinsi ulivyofurahi siku si nyingi hope utanipa fursa ya kuja kukuona live! Ili nilete mrejesho vizuri
Mashangazi humu wanakaza.. kuwaona utaishia kupasikia kwenye bomba.. ukibahatika kumuona hata mmoja niite fisi maji 😅😅😅Kwa jinsi ulivyofurahi siku si nyingi hope utanipa fursa ya kuja kukuona live! Ili nilete mrejesho vizuri
Ankol 👏👏👏👏👏👏 leo umeamua utubless asante Ankol naona kazikazi ukakazia na bagi 😂😂😂😂😂Nilikula bangi kale alafu nimeshinda juani 🥸🥸🥸View attachment 2525582
Mrejesho nilivo na kisogo au sura personal😂😂😂Kwa jinsi ulivyofurahi siku si nyingi hope utanipa fursa ya kuja kukuona live! Ili nilete mrejesho vizuri
Bangi muhimu 😅😅 nakumbuka chuo hadi kuna eneo waliamua kuweka walinzi ili kukabariana na vijana sie 🤣🤣🤣 napa miss mnarani sana...Ankol 👏👏👏👏👏👏 leo umeamua utubless asante Ankol naona kazikazi ukakazia na bagi 😂😂😂😂😂
Haha hawataki kapachino asafishe nyota Bantu Lady fanyeni wepesi ebuMashangazi humu wanakaza.. kuwaona utaishia kupasikia kwenye bomba.. ukibahatika kumuona hata mmoja niite fisi maji 😅😅😅
Ulituma picha au nn mbona umefuta haraka Ivo auntBangi muhimu 😅😅 nakumbuka chuo hadi kuna eneo waliamua kuweka walinzi ili kukabariana na vijana sie 🤣🤣🤣 napa miss mnarani sana...
😅😅😅 ni rahisi kukutana na Philip Mpango au IGP ila sio mashangazi a humuHaha hawataki kapachino asafishe nyota Bantu Lady fanyeni wepesi ebu
Dah sema we mtoto mzuri! Hii picha leo inaweza ikanifanya nifanye maasi ujueMrejesho nilivo na kisogo au sura personal😂😂😂
Nilituma mandevu tu aunt 😅😅😅Ulituma picha au nn mbona umefuta haraka Ivo aunt
Umeanza kuvuta nawe sikuhiz Kwa picha gani sasa 😀Dah sema we mtoto mzuri! Hii picha leo inaweza ikanifanya nifanye maasi ujue
Hebu nioneNilituma mandevu tu aunt 😅😅😅