National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Tumeambiwa tumshukuru Mungu, kwa hali zote za maishaMchawi shibe tu nikishakula ugali wangu na matembele ni kusmile mwanzo mwisho😀😀@Kapachino
Tumeambiwa tumshukuru Mungu, kwa hali zote za maishaMchawi shibe tu nikishakula ugali wangu na matembele ni kusmile mwanzo mwisho😀😀@Kapachino
Ndo mwenyewKa sophy hako
Nambie jirani , Za leo .Jirani Kama jirani!
🙂🙂🙂 shangazi wetu wametulia hawana baya na mtuMtoto bado mbichi National Anthem ! You look so nice madamme sophy!
Sasa hio photos mpaka watoto walale auHello Antonnia nimekuona [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nimemmiss sana Wigelekelo uko wapi Msukuma wewe...
Kabisa auntTumeambiwa tumshukuru Mungu, kwa hali zote za maisha
Safi kabisa! Nilikuwa mtaani tu full kulalaNambie jirani , Za leo .
Asante bhna si unajua nimepata kasimu kapya kanagonga picha kinoma😂😂Mtoto bado mbichi National Anthem ! You look so nice madamme sophy!
Wigelekelo yuko shamba huu ni msimu wa kulima kwa bio yuko shambaHello Antonnia nimekuona [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nimemmiss sana Wigelekelo uko wapi Msukuma wewe...
Fanya kunipasia iyo ya zamani ndugu yako niache kutumia tecnoAsante bhna si unajua nimepata kasimu kapya kanagonga picha kinoma😂😂
oh kumbe , muhimu sana hilo fanya vile mwili wataka .Safi kabisa! Nilikuwa mtaani tu full kulala
Nimehama tecno nimehamia Infinix ndugu Sina maajabu😂😂Fanya kunipasia iyo ya zamani ndugu yako niache kutumia tecno
Hello Antonnia nimekuona [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nimemmiss sana Wigelekelo uko wapi Msukuma wewe... @Bantu Lady jina tamu sana
Taratibu unapanda vyeo mpaka utafika kule kwa tumilioni mbiliNimehama tecno nimehamia Infinix ndugu Sina maajabu[emoji23][emoji23]
Thubutu 😂😂😂Taratibu unapanda vyeo mpaka utafika kule kwa tumilioni mbili
Kila hatua dua! HongeraNimehama tecno nimehamia Infinix ndugu Sina maajabu😂😂
Sio poleKila hatua dua! Hongera
Pole tupe sisi wazee wa tecno!Sio pole
Kipanya🤣🤣Kinyonyi 😁😁
View attachment 2525343