Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 3,505
- 8,713
Nafasi wanepewa bad boys tu😅😅😅 ni rahisi kukutana na Philip Mpango au IGP ila sio mashangazi a humu
Nafasi wanepewa bad boys tu😅😅😅 ni rahisi kukutana na Philip Mpango au IGP ila sio mashangazi a humu
😅😅Hebu nione
Kwanza nifundishe ili nikifuta isionekane, hata mtu akiwa amequote.Haha hawataki kapachino asafishe nyota Bantu Lady fanyeni wepesi ebu
Asante aunt nimeona uchebe
tatizo lips ndo zime lifanye dishi langu liyumbe kidogoUmeanza kuvuta nawe sikuhiz Kwa picha gani sasa 😀
Wenye nyota zao mzeee😅😅Nafasi wanepewa bad boys tu
Sasa nikose vyote best nikose na lips nitakuwa mtu kweli angalau nimepata Cha kuwaringishia😂😂😂tatizo lips ndo zime lifanye dishi langu liyumbe kidogo
Haha easy tu! Ukipost then ukitaka ufute unaenda sehemu ya editing una chagua ku delete picha then una click save changes; hapo hawataikutaKwanza nifundishe ili nikifuta isionekane, hata mtu akiwa amequote.
Maana inabaki hata nikifuta namimi sitaki 😥😥😥😥
Mwalimu wangu Wigelekelo hayupo...
Unanalaje mapema hivyo aunt 🙂🙂Niwatakie usiku mwema wapendwa
Nilikuwa na kahoma so naona kananizonga Bado madawa yanaleweshaUnanalaje mapema hivyo aunt 🙂🙂
Pole sana aunt.. Pata maji mengi sana na hewa ya kutosha...Nilikuwa na kahoma so naona kananizonga Bado madawa yanalewesha
Kapachino ambaye Hana mambo mengi; ye atawasikia kwenye bomba tuWenye nyota zao mzeee😅😅
Sawa aunt najitahid asantePole sana aunt.. Pata maji mengi sana na hewa ya kutosha...
Ugua pole madamme!Nilikuwa na kahoma so naona kananizonga Bado madawa yanalewesha
😂😂Kapachino ambaye Hana mambo mengi; ye atawasikia kwenye bomba tu
Haya aunt ulale salama, Mungu akutunze. Na mie aunt yako nalala sasa.. Leo usingizi mwingi sanaSawa aunt najitahid asante
AsanteUgua pole madamme!
Jamani jamani!Nina test mitambo 😄😄😄😄View attachment 2525602
Mazee kesho goja nifike USA kwanza kidogo 😅😅😅Kapachino ambaye Hana mambo mengi; ye atawasikia kwenye bomba tu
we furahia tu!😂😂