Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
ChiefAmkeni tuselfike
ChiefAmkeni tuselfike
Nipo madamChief
Pole madamMie na picha tushaachana hahaha ... Mjep
zishakuwa mbaya siku hizi , hazina jipya .. Thank youPole madam
Usiache bana utatunyima kuona lips saaafi kabisa
Ebu tuone?😜zishakuwa mbaya siku hizi , hazina jipya .. Thank you
Sawa basi kesho upite chama nikupige nitupie hapa selfikaWewe ndo camera man ujue . Napigaje mwenyewe wakati una simu inayolingana camera na google pixel Mjep
Okay , nitashukia hapo nipate picha safi ..Sawa basi kesho upite chama nikupige nitupie hapa selfika
Ila simu yangu ni ndogo haina pixel kubwa kama unavyodhani
NitakusubiriOkay , nitashukia hapo nipate picha safi ..
Sidanganyi mie akiiNitakusubiri
Ole wako unidanganye
Last time 😅😅😅😅View attachment 2525624
Ankol National Anthem 😋😋😋😋😋 BF 😘😘😘 ukimaloza unashushia na juisi ya baridi.
Aunt Bantu Lady chagua moyaa hapo nikuletee upozee kooAnkol National Anthem 😋😋😋😋😋 BF 😘😘😘 ukimaloza unashushia na juisi ya baridi.
Orange Ankol japo najua, ungenichagulia Avocado ... mambo ya green 😄😄😄😄 Tena bora kabla sijagugumia Pepsi baridi hapa...Aunt Bantu Lady chagua moyaa hapo nikuletee upozee kooView attachment 2525971
View attachment 2525973
😅😅😅 Pepsi big ... kati ya soda nilizo zishinda ni hizo.. mie huwa fanta orange.. hapo ningekubebe zote unazinywa kwa masaaaOrange Ankol japo najua, ungenichagulia Avocado ... mambo ya green 😄😄😄😄 Tena bora kabla sijagugumia Pepsi baridi hapa...