National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Hii ndiyo yenyewe sasa, kwa diet Ankol
Alafu kuna za mtindo huu 😊😊Hii ndiyo yenyewe sasa, kwa diet Ankol
Unajua nini Ankol, nilichogundua ni kuipamba diet foods mpaka uone ni kama junk food tu unayoila 😄😄😄😄😄
Chakula ukikipamba kinavutia hata kula.. ona kama hikiUnajua nini Ankol, nilichogundua ni kuipamba diet foods mpaka uone ni kama junk food tu unayoila 😄😄😄😄😄
Pole Ankol bangi nayo ilichangia 😂😂😂😂😂😂 wewe unafanyaje? Picha yako inatoweka kabisa jamani. Au hili lisimu?
Kama unatumia bontal inawezekanana aunt 😅😅😅😅 kuna watu hata wakifuta picha zao siku nzima huwa nikirudi nazikuta tu..mie natumia bontel na browser ya Chrome situmii appPole Ankol bangi nayo ilichangia 😂😂😂😂😂😂 wewe unafanyaje? Picha yako inatiweka kabisa jamani. Au hili lisimu?
Nilikumiss jamaniKwanza nifundishe ili nikifuta isionekane, hata mtu akiwa amequote.
Maana inabaki hata nikifuta namimi sitaki [emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
Mwalimu wangu Wigelekelo hayupo...
Mimi zaidi na tunapishana sana kipenzi Valentina Uko poa lakini mrembo wangu. 😘😘😘
Niko poa dear wangu japo Jack Palladino kanipa kibuti kahamia kwingineMimi zaidi na tunapishana sana kipenzi Valentina Uko poa lakini mrembo wangu. [emoji8][emoji8][emoji8]
Vitunguu, karoti, hoho, tangawizi, swaumu, nyanya, giligilani na nazi ukipenda[emoji39]Nataka nikaange kuku nitie viungo gani? [emoji1]
Nakupa Ankol wetu National Anthem huyu mkaka poa kabisa. Hana mambo mengi, mtulivu kabisa ushindwe wewe 😄😄😄😄😄 ukitaka wakaka wa Kikurya wapo pia niwewe tu dear.Niko poa dear wangu japo Jack Palladino kanipa kibuti kahamia kwingine
Hebu nipe kaka ako anitulize moyo[emoji32]
Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
Babe nimeibiwa na nani?😳Niko poa dear wangu japo Jack Palladino kanipa kibuti kahamia kwingine
Hebu nipe kaka ako anitulize moyo[emoji32]
Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
National Anthem njoo ujionee huku....😂😂😂😂😂Nakupa Ankol wetu National Anthem huyu mkaka poa kabisa. Hana mambo mengi, mtulivu kabisa ushindwe wewe 😄😄😄😄😄 ukitaka wakaka wa Kikurya wapo pia niwewe tu dear.
😅😅😅 aunt hunitaki niishi dunia , unanipa mtu wa watu, na mtu wake nasikia anatembea na bindukiNakupa Ankol wetu National Anthem huyu mkaka poa kabisa. Hana mambo mengi, mtulivu kabisa ushindwe wewe 😄😄😄😄😄 ukitaka wakaka wa Kikurya wapo pia niwewe tu dear.
Jamaa ake ana binduki, sitaki magomvi mie .. acha niendelee kujitunza mke wangu anikute brand new 😌😌😌😌National Anthem njoo ujionee huku....😂😂😂😂😂
Hata wewe nitakupa mchumba muda si mrefu subiri. 😁😁😁😁National Anthem njoo ujionee huku....😂😂😂😂😂
Watakupoteza chap kwa haraka😅😅😅 aunt hunitaki niishi dunia , unanipa mtu wa watu, na mtu wake nasikia anatembea na binduki