Quavohucho
JF-Expert Member
- Aug 30, 2020
- 949
- 2,247
monalisa yupi? Na ana umri ganiView attachment 2524432
Mtoto wa Monalisa nyie
monalisa yupi? Na ana umri ganiView attachment 2524432
Mtoto wa Monalisa nyie
Muigizajimonalisa yupi? Na ana umri gani
Hayo mambo ya kulowekana ni ya Vijana zaidi, mimi Babu yenu huwa nahitaji Blanket tu kuweza kuishinda baridi 🤪Hivi hapo shida ni baridi au tu watu wanapenda kulowekana 😀😀
Babu sikuhiz ni kutembea na store ya vipimo 😂
Hiyo ilinikuta Njombe ndani ndani huko, nilikaa siku 3 lakini nikahisi nimekaa mwezi mzima.Kuna kipindi unawekewa mpaka jiko la mkaa ndani
Unajua miaka ile ya zamani kwa sisi tuliokuwa tunalima ilikuwa tunavuna sana alafu ardhi yote ilikuwa Bikra (Virgin land) huhitaji kutumia mbolea kama sasa.Mlikuwa mnatoa wapi hela
Kwasasa mabadiriko ya tabia ya Nchi yamepelekea maeneo mengi kupoteza hali ya hewa ya asili .Makambo kwa sasa sio kali kivile
ko hiyo kitu imekua legal siku hizi mbaka mtu ana annaounce kwenye bio yakeMuigizaji
😅😅😅 mbole ya kongoUnajua miaka ile ya zamani kwa sisi tuliokuwa tunalima ilikuwa tunavuna sana alafu ardhi yote ilikuwa Bikra (Virgin land) huhitaji kutumia mbolea kama sasa.
So tulipata hela ndefu kiasi
Mpira haramu jamni 😂 wakibutua kocha kazi anayo😂😂😂Sophy na leo azam wanabatua
nitacheeeeka
Njombe kule si ndio maana hata ukimwi uko juu maana kutokana na ile hali ya hewa wanapigana para mbayaHiyo ilinikuta Njombe ndani ndani huko, nilikaa siku 3 lakini nikahisi nimekaa mwezi mzima.
Yaani asubuhi unapewa maji ya moto kabisa kuweza kunawa uso lakini huhisi kuungua![]()
Miss you aunt.. 😘😘Aunt mzima
Shangazi miye niko kushangilia simba akihenyeshwa Ankol National Anthem ... unataka ya upande gani? 😅😅😅😅😅Nyie mashangazi wangu, naombeni leo mnibless kijana wenu nilale mapemaaa 😅😅
C.c Antonnia
sophy27
Bantu Lady
Kijana nina arostooo kali 😌😌
Mie upande wowote nashukuru aunt yangu Bantu Lady 😊😊😊Shangazi miye niko kushangilia simba akihenyeshwa Ankol National Anthem ... unataka ya upande gani? 😅😅😅😅😅