Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

d

dah hii koment sikuiona mrembo wangu.nisamehe kwakuchelewa kukujibu.mimi hii forum naijua tokea hujavunja ungo mwakaule wa 2009 sema nimekuja na I'd mpya ili nipate mademu wapya Mana wewe nishakuchoka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Unatafuta ugomvi mkuu

Dume la mbegu hilo

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
 
Kwa lile kosa
Sio la kupewa ban ya siku 7
Af kumbe sina koneksheni [emoji23][emoji23]
yan napitia konekshen ndo napunguziwa zibaki 3
Sema nashukuru we uliyenikonekti
Maana hizo 4 nyingine dah 🥹

Nimeambiwa niache kutukana sijui kusema watu
Sawa
Sahiv dustin bin itajaa [emoji23]
Ukisema 1+1 ni 11
Nikikwambia ni 2 ukikataa
Nakuweka bin [emoji846][emoji846]
Chitaki stress na watu wenyewe hamjulikani Lenie
Natamani nikusababishie ban [emoji23][emoji23]
Ila nimeokoka
Hallelujah
Mapendo ya kinafki na kiukweli yaendelee
Kumbe ulikua banned jirani yangu

Pole wee

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom