National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,202
hapo lazima ampigie mwana asingizie hata msiba kuokoa jahazi 🤣🤣🤣😄😄😄 hapo lazime wamjazie nzi .
hapo lazima ampigie mwana asingizie hata msiba kuokoa jahazi 🤣🤣🤣😄😄😄 hapo lazime wamjazie nzi .
200 ya kabla ya saa nne jumlisha na heka heka za jana yake lazima maji aite mma.hapo lazima ampigie mwana asingizie hata msiba kuokoa jahazi 🤣🤣🤣
Haswaaaaaah!!!yuko vizuri , hizi ndo type zako .
Hamuogopiiiiiiii????
siku utafall kwa mwenye kitambi ujue lol .Haswaaaaaah!!!
Twin hebu nifungulie pm au nipm nina ishu na wewe ASAP!
Hiyo picha ya pili huyo ni nan anayekubusu?..
Unakula tu Bata Nkamu
Ila humo kwenye maji,unachokitafuta kipo![]()

Hamuogopiiiiiiii????
Twin hebu nifungulie pm au nipm nina ishu na wewe ASAP!
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
siku utafall kwa mwenye kitambi ujue lol .

wenye vitambiii mie wa nn? HapanaaWee hapanaaaa, naogopaaaaaa mie mnooo.hapana hata sikuogopa