Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 18,849
- 57,527
Si unajua kuja kwangu huko Mjini inategemea na nafasi ya Mjukuu wa kunishika Mkono, Babu yenu nimezeeka ujue 🙈🏃Ah babu kimya kimya hivo
Si unajua kuja kwangu huko Mjini inategemea na nafasi ya Mjukuu wa kunishika Mkono, Babu yenu nimezeeka ujue 🙈🏃Ah babu kimya kimya hivo
Mkuu punguza hayo makorokocho basiHi Darmian..I'm a big fan..can i take a selfie with you?View attachment 2492651
Unataka unione live bila chenga or??..Jf hii aisee..Mkuu punguza hayo makorokocho basi

Haha nimesema punguza sijasema toa kabisa mkuu japo nilikuwa nakuzingua tuUnataka unione live bila chenga or??..Jf hii aisee..

Santee babyHongereni sana![]()
UmetupunjaHi Darmian..I'm a big fan..can i take a selfie with you?View attachment 2492651
Usisahau kuangalia mabingwa wa nchi wanacheza bdae😘Santee baby
Nini mrembo?Umetupunja
Unilipie king'amuz bebee nimechoka kuangalizia barUsisahau kuangalia mabingwa wa nchi wanacheza bdae![]()

Sura yakoNini mrembo?
Naangalia bar???seriously??🫢Unilipie king'amuz bebee nimechoka kuangalizia bar![]()
Tufanye tuoshe macho na picha yako basi na mimi nijifunze kutokea kwako mrembo.Sura yako
Hiyo picha ya pili huyo ni nan anayekubusu?..
jaman 


