Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,365
- 91,920
😂punguza ubahili bas jamanNatoa jero ukasuke twende kilioni
😂punguza ubahili bas jamanNatoa jero ukasuke twende kilioni
Anajua Babu yake hapa Sina shida 🤗
Nimekaa nazo mwez jamen,jitoleeni bukubuku nisuke zingine....plzzz
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nacheka kama mzuri, umenikumbusha mtu ambaye hajamove on, mwaka sijui wa 10 naa sasa dah. Usiombee mtu wa hivyo maishani mwako.Wanasema Kuna watu wahajui kuacha Wala kuachika.
Ukidate na mtu wa hivyo hata kama alikununuliaga Kiwanja au alikupelekea matofali Site mkiachana anakuja kuyabeba kabisa.
Na kama alikufungulia biashara anakuja kuihamisha kabisa.
Watu wa hivi ikitokea mmeachana ndiyo anakusemea mapungufu mara Kibamia sijui ukipiga kimoja chali n.k
Bora sisi tumezeeka, tumeamua kujipumzikia tu 🙈
Tena Kwa sisi Wazee!Ili nigundue nini mie Wigeee!!
Soon aisee...yaan chapBinti mzuri mbichi bado kigori kbsa namba E
Nitumie namba yako pm
😂daa,mi sitaki hizo jamanHio si ndio bei ya kusuka twende kilioni![]()
Hii ni UCHI sasa sio naked!Nimekaa nazo mwez jamen,jitoleeni bukubuku nisuke zingine....plzzz
😂naona ni siku nayoHii ni UCHI sasa sio naked!
Kwamba anaona kuna siku utarudi tunacheka kama mzuri, umenikumbusha mtu ambaye hajamove on, mwaka sijui wa 10 naa sasa dah. Usiombee mtu wa hivyo maishani mwako.
Maana yeye akili yake, inamtuma ipo siku mtarudiana tu.
Halafu wewe hata wazo naye huna, hapo ndiyo utajuta kumjua![]()
Kuna mtu niliona alichukua vitu vyote vya ndani yaani vyote yule dada ilibidi aanze kulalalia kangaWanasema Kuna watu wahajui kuacha Wala kuachika.
Ukidate na mtu wa hivyo hata kama alikununuliaga Kiwanja au alikupelekea matofali Site mkiachana anakuja kuyabeba kabisa.
Na kama alikufungulia biashara anakuja kuihamisha kabisa.
Watu wa hivi ikitokea mmeachana ndiyo anakusemea mapungufu mara Kibamia sijui ukipiga kimoja chali n.k
Bora sisi tumezeeka, tumeamua kujipumzikia tu![]()
Wachaa wee, hongeraaa.Napiga misele tu![]()
Unarudi kwa ex ili ukagundue nini kipya? 😅😅😅😅😅Kwamba anaona kuna siku utarudi tu
Ndyoooo mama lishapeee.





Mambo wa kunyumbaWachaa wee, hongeraaa.
Jaman khaaaaaaah,Hizo bolibo
Ni zimesimama zenyewe ama jeki imehusika
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app









🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tena Kwa sisi Wazee!
Manake unakuta Wazee sisi hatulali bila dawa zetu za Presha kitandani, Sasa ukikutana na Kijana Rika lako si Mzee anakata moto 🙊
Kuna vitu vingine unakua unavimisiUnarudi kwa ex ili ukagundue nini kipya?![]()



