Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Baba Jane byebye [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sijui namsaidiaje. Kweli mwanamke kupenda kwa mara ya pili, wachache sana.
Watu wanaambiwa ukipendwa, tulizana iko siku huyo mtu ataondoka uanze tishia kujiua bure [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Na magonjwa haya nani arudi, kila mtu apambane na hali yake tu.
Ukimpenda mtu, anakuona huna pa kwenda. Muache sasa hee unajiuliza nimebadilika nini jamani [emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna kurudi nyuma maana kila mtu anabaki na kitendea kazi chake sio[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hakuna Mzee hapo

Utapelekewa moto hadi uombe poo

Mchekee manina

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Sitrakiii mieee!! Hakuna kipya nisichokijuaaa ! Bakini na babu yenyuuuuu mie Hapanaa 🙌🙌🙌🙌🙌

My B anitoshaaaa The one and only Bbbbbbbbbb Bebebebebibeeeeeeeee💃💃🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸
 
Sitrakiii mieee!! Hakuna kipya nisichokijuaaa ! Bakini na babu yenyuuuuu mie Hapanaa [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

My B anitoshaaaa The one and only Bbbbbbbbbb Bebebebebibeeeeeeeee[emoji126][emoji126][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Una hamu wewe

Basi sawa

Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
 
Kuna mtu niliona alichukua vitu vyote vya ndani yaani vyote yule dada ilibidi aanze kulalalia kanga
Itakuwa jamaa alichefukwa kupitiliza 😂

Haijalishi mmeachana kwa sababu ipi, lakini suala la kumpokonya hadi Zawadi ulizowahi kumpa babe yako baada ya Kukufurahisha kwenye 6x6 sio sahihi.

Kuna watu labda Ugeni au nini, Sisi ambao Umri umeenda tumekutana na vingi Sana.

Kuna Wadada Wanajua kujituma kunako 6x6 hadi wewe mwenyewe na akili zako timamu unaamua kumzawadia. Sasa mkigombana ndiyo umpokonye Jasho lake, hiyo sio sawa kwa kweli 🤗🙈🏃🏃
 
Itakuwa jamaa alichefukwa kupitiliza [emoji23]

Haijalishi mmeachana kwa sababu ipi, lakini suala la kumpokonya hadi Zawadi ulizowahi kumpa baada ya Kukufurahisha kwenye 6x6 sio sahihi.

Kuna watu labda Ugeni au nini, Sisi ambao Umri umeenda tumekutana na vingi Sana.

Kuna Wadada Wanajua kujituma kunako 6x6 hadi wewe mwenyewe na akili zako timamu unaamua kumzawadia. Sasa mkigombana ndiyo umpokonye Jasho lake, hiyo sio sawa kwa kweli [emoji847][emoji85][emoji125][emoji125]
Lakini ule ni ushamba mimi naona maana ulishamtumia sasa ya nn kumfanyia hivyo mkiachana kila mtu achukue hamsini zake
 
Back
Top Bottom