Hata nikiwa Sina chakula isinifanyie kusahau, ulinilisha nikasaza.
Hata nikiwa Sina mavazi, isinifanye nikufuru nakusahu umeniweka hai.
Ona wapo marafiki wanakosa kula na kuvaa, hawalalamiki wanakushukuru tu.
Mimi eeh nilikupa nini Baba Cha kunipa kibali kwa siku zilizofurahisha.
Tabu kidogo zisifanye nikusahau, umeshatenda mengi nikiwa hapa.
Shida itapita, bado kidogo, ikiwa nitachoka niinue.
Nipe kukumbuka wema x2
Nipe kukumbuka wema wako πΆ
Nipe Song by Goodluck Gozbert
Sometimes We should be thankful despite of whatever situation we are passing throughπ
Hello Tuesday π₯π€
View attachment 2484487