Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,871
- 32,691
Sana dear, wakati maisha haya ni ya muda mfupi. Furahia uwezavyo na tenda wema hatuishi milele.Yani ni Kuna watu ni wanakompliketi sana maisha dear!!
Sana dear, wakati maisha haya ni ya muda mfupi. Furahia uwezavyo na tenda wema hatuishi milele.Yani ni Kuna watu ni wanakompliketi sana maisha dear!!
Kabisa kipenzi tatizo tunatofautiana sana uelewa !Sana dear, wakati maisha haya ni ya muda mfupi. Furahia uwezavyo na tenda wema hatuishi milele.
Huwa najaribu kuimba mara chache Gospel kama hivyo, shida yangu Sauti mbaya.Kumbe babuu Unajua kuimba hivo??
Hongera na Inapendeza sana kuona unamtukuza mungu granpa!!
Barikiwaaaaa✌️✌️✌️!
Hahahaaa!!! Vizuri babu!!Huwa najaribu kuimba mara chache Gospel kama hivyo, shida yangu Sauti mbaya.
Sijui ni haya MaKiko nayovuta 🙈
Amen.. Thanks.. and you too..How have you been?
May God double your blessings,and 2023 be your revolutionary year IJN.
Thanks Mkuu, ingawa unahitaji Moyo kuweza kufanya hayo.Umemaliza yote 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻 hiyo ndiyo inatakiwa kuwa. Una roho ya kizungu Kaka, uendelee na moyo huohuo... I wish wanaume wote wa kibongo waisome hii 📌📌📌📌📌📌📌📌
Nikufundishe?Kwetu kuna mito tu 🙈🙈
Wakati ule nipo kwenye Kwaya ya Kumwimbia Malikia Elizabeth(Miaka Ile kabla ya Uhuru), I used to be a good Singer.Hahahaaa!!! Vizuri babu!!
Sana tena uadui kwa waliowahi kuwa wapenzi, ni mbaya sana.Thanks Mkuu, ingawa unahitaji Moyo kuweza kufanya hayo.
Mwengine mkishaachana unageuka adui yake milele
Roho za undugu na shetani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sana tena uadui kwa waliowahi kuwa wapenzi, ni mbaya sana.
Yeah inahitaji moyo na mtu awe yuko hivyo. Watu naona tuna roho tofauti, kuna watu wenye roho za kipekee kabisa. Halafu kuna wenye roho zao, kama zina undugu na shetani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wanawake kinachotusumbua ni wivu. Tukishinda roho ya wivu, kuona mwanamke yule ana kile, hata mimi Mungu kanipa hiki tutaishi kwa amani.Roho za undugu na shetani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mbavuu Zanguuu mieeeee!!
Especially sisi wanawake ndio tumezidi sana aweeeeeeh!
Wahivo Dawa ni kuwapuuzia tu hakuna kuwapa muda wala attention kabisa wakae na mawivu yao ya kiwaki!! Huwa hawataki kukubali ukweli!Wanawake kinachotusumbua ni wivu. Tukishinda roho ya wivu, kuona mwanamke yule ana kile, hata mimi Mungu kanipa hiki tutaishi kwa amani.
Usiombee uchukiwe na mwanamke 😂😂😂😗😂🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻 hakuna rangi utaacha ona, hata pasipo na chuki ataiweka tu.
Yesssssss unatupa 🚮🚮🚮🚮🚮🚮 unaenjoy life 💃💃💃💃💃💃Wahivo Dawa ni kuwapuuzia tu hakuna kuwapa muda wala attention kabisa wakae na mawivu yao ya kiwaki!! Huwa hawataki kukubali ukweli!
Kabisa dear😘!Yesssssss unatupa 🚮🚮🚮🚮🚮🚮 unaenjoy life 💃💃💃💃💃💃
Maisha raha mstarehe...
Babuu?Kumbe babuu Unajua kuimba hivo??
Hongera na Inapendeza sana kuona unamtukuza mungu granpa!!
Barikiwaaaaa!
Ntafurahi niwe naogelea kama 🐟 🐠 🤓Nikufundishe?
Ili nigundue nini mie Wigeee!!
Naomba deiwaka
Wanasema Kuna watu wahajui kuacha Wala kuachika.Sana tena uadui kwa waliowahi kuwa wapenzi, ni mbaya sana.
Yeah inahitaji moyo na mtu awe yuko hivyo. Watu naona tuna roho tofauti, kuna watu wenye roho za kipekee kabisa. Halafu kuna wenye roho zao, kama zina undugu na shetani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Natoa jero ukasuke twende kilioniNimekaa nazo mwez jamen,jitoleeni bukubuku nisuke zingine....plzzz